Tigo internet ipo hovyo sana

Tigo internet ipo hovyo sana

Poleni itakua kuna tatizo kwenye chanzo cha huduma hio
 
Sijawah tumia Tigo kwa mafanikio..majuzi hapa kuna mtu alinishawishi na bando za tigo business mpka nikasajiri line,matokeo yake hata bando dogo nililonunua sikutumia..
Voda pamoja na gharama zao kuwa juu ila internet yao ni ya uhakika.
 
Tigo leo inazingua upande wa Tigo pesa ...ukitaka kuongea na muhudumu skmu inajikata
 
Wakuu habarini

huu mtandao wa Tigo unasumbua sana kwny internet wiki ya tatu sasa, hii ni Shida kwangu mimi tu au ni wote?
Mkuu ni mtandao upi ambao sio wa hovyo hapa Tanzania?
 
tigo kwanza wanatafuna bundle si mchezo

voda internet ya 4g ila HAMNA KITU

airtel speed kali sana ila bundle kama upepo
 
Wakuu habarini

huu mtandao wa Tigo unasumbua sana kwny internet wiki ya tatu sasa, hii ni Shida kwangu mimi tu au ni wote?
Nikeeli Tigo kwenye internet wako hovyo sana, mda mwingi inasoma E tu, nanunuaga bando la wiki najikuta linaisha bila kulitumia, nishahamaga mda tu, angalau Halotel kdg,
 
Back
Top Bottom