nyambaafu!unafikiri utaibadilisha kura yangu,,,mm ni team ukawa ukawa kuanzia diwani mpaka rais wangu lowassa,,,upoo?wataarifu na wengne wenye akili kama zako
hujielewi...ngoja mvua ije ikunyeshee october 25,,then ujue kilaza ni yupi na kipanga ni yupi!by the way ww unashabikia mfumo wa wezi na akili yako imekaa kiwiziwizi asee
natafuta mwalimu wa kubadilishana nae vituo vya kazi,Yeye aje Arusha-MERU DC mjini usa-river,mimi niende magu mjini idara ya sekondari,napatikana kwa namba 0712501156
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.