Elineema Mosi
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 255
- 72
- Thread starter
- #21
ooooh come on f..u..c...k...... U......
hilo silishangai pia lilishatokea hata bungeni, akili ndogo ni wasumbufu sana.
ooooh come on f..u..c...k...... U......
Na wewe jioni unarudi nyumbani kwamba umetoka kazini?
Kijana wa kiume hatakiwi kushinda kwenye majungu vijiweni.
Hilo tusi la Come on, F.U.C.K you si la Bavicha. Nafikiri amelikopi na kupaste tu kutoka kwa viongozi wa juu wa CCM. Tena tusi la bungeni? You can just imagine kama kweli CCM imepeleka watu wenye akili timamu bungeni au vichaa.Bavicha boy in action...
mkuu kumbe aliyetoa bungeni hilo tusi ni wabavicha!?bavicha boy in action...
Ooooh Come on F..U..C...K...... U......
Hata mimi nakuunga mkona, mleta mada hayupo mbali na ukweli, japo wasiopenda kusikia wanambeza, lakini wanaopenda kusikia nadhani wamepata ujumbe. Lakini pia binadamu huwa tuna undermine sana nguvu za Mungu, CCM wajue kama Mungu ameshapanga hata wafanye nini hawatafanikiwa, kwanza ndio wanazidi kumuuzi Mwenyezi Mungu zaidi.
no, yale yaliyo ya ukweli lazima tuyaseme ili kulilinda taifa hili.
Ndugu wana JF,
Ndugu kwa Habari nilizozipata hivi punde kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba. Wanajua kabisa 2015 hata wakatambikie ni wazi hawawezi kushinda uchaguzi ujao [ Wana CCM wote wanajua hilo Mwigulu unajua fika] hivyo wameamua kuja na staili ya aina yake ili kubaki madarakani, MBINU HIYO NI:
- Kuungana na chama cha NCCR Mageuzi na CUF ili kupata nguvu hivyo juhudi za kufanikisha mpango huu amepewa Nape na Mwigulu, kwa kiasi fulani hawa jamaa nimefanikiwa kumlainisha kiongozi wa NCCR Mageuzi kwa kumwomba mwenyekiti wao ampe ubunge, hivyo wanasubiri ajenda hiyo ijadiliwe kwenye kamati kuu ya hicho chama then wamalize mchakato wake.
- JKutengeneza Hujjuma kabambe na kumpachika mgombea Uraisi wa CHADEMA ili kukizoofisha zaidi, hii imepangwa kufanyika mwaka 2014 mapema ili kumfanya mgombea wa CHADEMA akose nguvu kisheria kugombea Uraisi [ Viongozi wa mkakati ni Mwigulu Mchema na Nape].
Wapenzi wa democrasia wote nawataka msipuuze hili bali ni jambo nyeti na lenye uhakika kabisa toka kwenye vyanzo vya habari za kishushu,
Nawakilisha.
Asanteni.
Mkuu, kwani chadema tayari wana mgombea wa uchaguzi wa 2015! Du hiki chama kweli hakitufai maana kwa post hii ni wazi kuwa mchakato wa kuwapata wagombea hufanywa kwa siri ndani ya chama na hushirikisha watu wachache tu.Ndugu wana JF,
Ndugu kwa Habari nilizozipata hivi punde kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba. Wanajua kabisa 2015 hata wakatambikie ni wazi hawawezi kushinda uchaguzi ujao [ Wana CCM wote wanajua hilo Mwigulu unajua fika] hivyo wameamua kuja na staili ya aina yake ili kubaki madarakani, MBINU HIYO NI:
- Kuungana na chama cha NCCR Mageuzi na CUF ili kupata nguvu hivyo juhudi za kufanikisha mpango huu amepewa Nape na Mwigulu, kwa kiasi fulani hawa jamaa nimefanikiwa kumlainisha kiongozi wa NCCR Mageuzi kwa kumwomba mwenyekiti wao ampe ubunge, hivyo wanasubiri ajenda hiyo ijadiliwe kwenye kamati kuu ya hicho chama then wamalize mchakato wake.
- JKutengeneza Hujjuma kabambe na kumpachika mgombea Uraisi wa CHADEMA ili kukizoofisha zaidi, hii imepangwa kufanyika mwaka 2014 mapema ili kumfanya mgombea wa CHADEMA akose nguvu kisheria kugombea Uraisi [ Viongozi wa mkakati ni Mwigulu Mchema na Nape].
Wapenzi wa democrasia wote nawataka msipuuze hili bali ni jambo nyeti na lenye uhakika kabisa toka kwenye vyanzo vya habari za kishushu,
Nawakilisha.
Asanteni.
Story za vijiweni...

Ya Mungu mwachie Mungu na ya Kaisari mwachie Kaisari......... Usilitaje bure Jina la Mungu wakoHata mimi nakuunga mkona, mleta mada hayupo mbali na ukweli, japo wasiopenda kusikia wanambeza, lakini wanaopenda kusikia nadhani wamepata ujumbe. Lakini pia binadamu huwa tuna undermine sana nguvu za Mungu, CCM wajue kama Mungu ameshapanga hata wafanye nini hawatafanikiwa, kwanza ndio wanazidi kumuuzi Mwenyezi Mungu zaidi.