PauliMasao
JF-Expert Member
- Nov 26, 2007
- 286
- 39
Pesa nyingi zimemwagwa Arusha na CCM za kuhonga ili madiwani na mbunge washinde Arusha. Bendera zao kwenye kila mtaa wa jiji ni wanajaribu kuonyesha kwamba CCM bado iko hai. Kusema la ukweli watu hapa A-City wameichoka CCM, hata waweke bendera zao mpaka mlima Kilimanjaro wanajisumbua tu. Lema hana mpinzani na atashinda kwa kishindo.