Recent content by bubukapoka

  1. B

    Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

    pinda sio mtoto wa peasant but ni mtoto wa settler,mwongo mkubwa huyo.
  2. B

    Udsm kesho kuchafuka zaidi

    Komaeni,hawa waliosoma enzi za ukoloni mkiwachekea watawafukuzeni wote,msiogope, kama ipo,ipo tu.
  3. B

    CHADEMA na Utata wa kimantiki

    Sikulaumu,ni uelewa wako mdogo tu:A S 465:,wanachokifanya CDM kinamantiki na kitakusaidia sio ww tu bali hata vitukuu vyako
  4. B

    Machali awaendesha puta wabunge wa CCM Bungeni!

    Yah,kaongea vizuri ila namshauri naye atoke coz jioni watampiga madongo mengi na asipovumilia atampiga m2 ngumi ,si tunajua magamba yanavyojua umbea na majungu kuliko kujenga hoja?
  5. B

    Wabunge hawa wametuangusha

    Sio kwamba wametuangusha tu,lakini nilichofurahi tumewajua kama ni mamruki waliokua wamejificha kichakani.
  6. B

    Hoja ya Tundu Lissu yaigawa NCCR bungeni

    za mwizi arobaini,ss inajulikana dhahiri kwamba ni nani ameamua kuwatumikia watz kwa dhati.Hongera Kafulila na Shibuda kwani kufanya kosa si kosa ila kurudia kosa ndio kosa.
  7. B

    Lowassa,Sitta na Membe kweli wanamaanisha kuhusu tatizo la ajira kwa vijana?

    Hello guys, Hivi karibuni tumewasikia baadhi ya viongozi wakilipigia kelele suala la ukosefu wa ajira kwa vijana wa Tz wakiwemo Lowasa,sita na Membe kwa nyakati tofauti,Najiuliza maswali mengi juu yao, -Hilo tatizo wameliona leo tu miaka iliyopita halikuwepo? -Wameshindwa kabisa kulijengea...
  8. B

    Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

    Ww ni miongoni mwa wale watembeao hali wakiwa wamekufa
  9. B

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Hello guys,Hivi karibuni viongozi kadhaa wa serikali wamesikika wakiongelea kuhusu ajira kwa vijana,baadhi yao ni Lowasa,sita na Membe.Kweli hawa watu wanania ya kweli ya kuwaendeleza vijana au wanakamilisha ule msemo kwamba SHETANI AKIZEEKA HUJIFANYA MALAIKA? Think grey not Green
Back
Top Bottom