Tatu 👍mbili zimefeli kwa nn zinanganganiwa? Tugande hapohapo tu? Tunahitaji mabadiliko hio hoja ya gharama ni hoja dhaifu haina mashiko ishatolewa maelezo ya kutosha
Wacha kuleta propaganda za uongo hizo na chuki za kidini waraabu gani wenye shida na ardhi? Mbona husemi wazungu na wao ndio walokua wakoloni kila pahala duniani hata hao waarabu walikuwepo tu picha nguvu zote zilikua ktk mikono ya wazungu na sasa hivi ni nani aneniingia ktk nchi za wengine...
Ni kweli kabisa sifa ya kiongozi wa CCM ni hizo uongo unafiki u selfish propaganda bac na huyu c wakuchaguliwa ni wakuteuliwa kila ukibobea na sifa hizi ndio unapanda chati ktk uongozi ccm
Umesema kweli mzee,kwa wale ambao yamewagusa haina maana kutoa matusi km wafanyavyo bungeni bali leteni hoja kupinga alichosema mzee Mohammed.Lazima tuwe waadilifu ili tuwe na amani chuki na ubaguzi hautatufikisha mahala.Na km kweli kuna chuki za kidini bac ni kinyume na mafundisho ya dini...
Ikiwa muungano c wa serikali 2 bac ni kuvunja muungano? Hakuna muungano bila ya serikali 2? Hawa watu c bure wana ajenda zao za siri na serikali 2,yaani wako tayari hadi kupandikiza chuki hata za kidini ilimradi matakwa yao yasimame. Democrasia kwetu badoo kabisa wanajifanya tu kutaka bt...
Msilaumu wa znz watanganyika nao wanahaki ya kudai Tanganyika yao kwa vinywa vipana CCM hawana hoja ya kupinga hilo, hizo za ubaguzu ikiwa itakua muungano wa serikali 3 na propaganda za waliofilisika.Nlimsikia mh mmoja akisema ati yy wanawe kwazaa tanzania kwa hio hawezi kujakua ktk tanganyika...
Ahsante mtoa mada umesema maneno mazima ndio wanavyoonekana husikii hoja za mashiko,leo mmoja amenichekesha anasema serikali 2 haziepukiki na pia ati wao wamezoea 2 hizo 3 hawajazizoea.lakini hajatoa hoja yoyote, na mwengine ametoa matusi kumtukana Maalim Seif badala kutoa hoja za kutetea mfumo...
CCM kila c ku wanatafuta mbinu mpya ya kuhakikisha udicteta wao unafanikiwa loh!Mwenyeezi Mungu asiwafanikishe wanafiki,watu wenye double faces hatari sana jamani.
Hilo ndilo suali la kuwauliza wana ccm kwa nini????wakati hicho wanachoking'an'gania 1)wananchi hawakitaki 2)wataalamu wameshasema sicho kinachofaa 3)kimekuwepo muda mrefu hakikuweza kutatua matatizo yaliyokuwepo 4)hawana hoja nzito za kukipinga.
Wazungu jee hamuachukii wale waliwahamisha waafrika kwa mamilioni kuwapeleka America?wengine walikua wakiwatosa baharini walipokua wakiwasafirisha!
Halafu utaskia warabu walifanya watumwa hushangaa sana kuona Kanisa pale Mkunazini ndio lilikua ni soko la watumwa na kanisa hilo lilikua mali ya...
Nakupa mfano mmoja tu ww uliyekurupuka kuanda mada hii ya uongo huko kwa waraabu mwanamke akiachika bac mume anapaswa amtizame kwa kila kitu akiwa na watoto na km mume atakua hatoi matumizi bac mwanamke akenda kushtaki huyo mwanamme mshara wake unakatwa na kupewa mmke wa kutosheleza mahitaji...
Muungwana haropoki hasemi ila vitu alivyo ifanyia utafiti,wala hio bibilia si dhani kama inawafundisha wafuasi wake kutusi dini za wengine,ndugu zangu mnaokashifu Uislam someni muelewe msitopoke tu kwani mtajidhuru wenyewe,kitu km huna elimu nacho bora nyamaza.Kwa kuwasaidia wale wasiojua uislam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.