Asha Bakari hakuwa na haki ya kumtukana Jussa, hebu msikilize, Zanzibar anateta Dodoma anaufyata!

Huyu Mnyamiwono ni -------- anajiongelea to kama kasuku.

Unajua hatulitendei haki jukwaa ambalo linashirikisha watu wengi wenye mitazamo tofauti.Ingekuwa vyema kama tungejikita kwenye kulijenga Taifa letu badala ya kutukanana.
 
Cheti Chake
 

Attachments

  • Asha Baraka.jpg
    Asha Baraka.jpg
    116.6 KB · Views: 314
Umesema kweli gogo ila lazma uwe makini utu uzima niheshesha yako kiukweli lile jimama hovyooooooooooooo nadhani hajitambuiii
 
Hawa ni wale kina mama mipapa waume zao wanawaacha wapike wao wanazunguka na mashoga, hawajui hata kujiheshimu mwenyewe alipoona watu wanampigia meza akaona anasifiwa kumbe wanamcheka ujinga wake. Hata mwanaume huwezi kuongea alivyoongea yeye, hivi hawa wanawapata wapi mpaka kuwapa dhamana ya kuwa viongozi anawatia aibu watoto aliosema anao yeye, kaona kufyata maana yake busha wakati sisi tunamaanisha kunyamaza au kunyamazishwa.
 
Ni kweli kabisa sifa ya kiongozi wa CCM ni hizo uongo unafiki u selfish propaganda bac na huyu c wakuchaguliwa ni wakuteuliwa kila ukibobea na sifa hizi ndio unapanda chati ktk uongozi ccm
 
002.jpg


Keki maalum aliyoandaliwa Mbunge maalum wa Bunge la Katiba Mhe.Asha Bakari Makame kwa kutetea udhalilishaji wa kijinsia katika Bunge la Katiba, hafla hiyo iliandaliwa na baadhi ya wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kwa ajili ya kumpongeza kwa msimamo wake.
 
Hivi wale POPO BAWA siku hizi hawapo Unguja? Just thinking aloud

Unataka kumtuma kwake?Msamehe tu huyu mama yetu alikuwa tu anatetea ugali wake japo hajui anatengeneza uhasama mkubwa kwenye jamii yake.
 
Siku zote ukizoea kuishi kwa uongo......hamna watu wanafiki kama magamba, akili zao ni za kushikiwa.
 
Back
Top Bottom