Wapinzani na serikali tatu, kuna nini?

Wapinzani na serikali tatu, kuna nini?

Tunadai Tanganyika yetu, Muungano bila Tanganyika unakosa maana
 
Jibu lipo kwenye rasimu ya katiba lakini kwanini hujauliza kwanini maccm wanang'ang'ana serikali 2?

Hilo ndilo suali la kuwauliza wana ccm kwa nini????wakati hicho wanachoking'an'gania 1)wananchi hawakitaki 2)wataalamu wameshasema sicho kinachofaa 3)kimekuwepo muda mrefu hakikuweza kutatua matatizo yaliyokuwepo 4)hawana hoja nzito za kukipinga.
 
Kwa nini mtoa mada una mtazamo kuwa CHADEMA ndio wanaotaka serikali 3? Kwani hili halipo kwenye rasimu ya tume, ambayo ni mawazo ya watu tofauti?

Serikali moja ni wazo zuri, je mtazamo wa Zanzibar ukoje kwenye hili?
Elewa nilicho andika kuna sehemu tuna fahamu Cuf wana influence kuliko CDM na SEhemu nyingine CDM wana nguvu kuliko CUF hawajawahi kukaa pamoja na kujaribu kuungana kuingoa CCM, hawajawahi kuungana hata kufanya maandamano ya pamoja kwenye ufisadi mkubwa kama EPA, DOWANS na mengine lukuki, ila serikali 3 tu. ndio wanajaibu kutuaminisha ni muhimu kwa watanzania. huu ni uwongo uliopitiliza, mwananchi wa kawaida anajua hata faida za muungano? EU inalazimisha Ukraine ijiunge kwao hata kwa bunduki, mwananchi wa kawaida Nyakabindi bariadi anayajua haya. tatizo la afrika ni uongozi , na hapa kwetu CCM ni tatizo lakini pia wapinzani naanza kuwaangalia kwa jicho la tatu, Chama kinachojianda kuchukua dola kina mawazo ya kuvunja muuangano bila ya kutoa option ya kusuluhisha, structure ya muungano kweli ni tatizo lakini tuna overcome vp?
 
KWA maCCM yote humu yanayopinga serikali tatu kwa kuimba chorus zilezile mlizokaririshwa na watwana wenu, Naombeni MMOJA WENU MWENYE AKILI TIMAMU anioneshe ama anijulishe jinsi mchakato wa Kuwa na Muungano ulivyoenda hadi tukawa na Muungano, na KAMA MUUNGANO tunaouzungumzia leo hii UNA BACKUP (LEGITIMACY) ya Watanzania (Tanganyika na Zanzibar).Je!Maoni ya Wananchi yalitafutwa kuhusu muungano kama ilivyofanyika katika Rasimu ya sasa ya katiba?Wananchi walipiga Kura ya Maoni?CCM acheni kuwa MAKASUKU!

cc:Mwakyonde, Mjepo,Buchanan,Ndumbayeye.
 
Anza wewe kutupatia legitimacy ya kuundwa kwa nchi ya Tanganyika baada ya Berlin Conference! Je, wazungu walikubaliana nasi kuiunda Tanganyika mnayoililia kila siku hamlali?
 
mimi naitaka tanganyika tu hayo mengine siyatambui,serikali ziwe0,1,2,3,4,5,6,7,8,9.
tanganyika kwanza.
 
Kwanini wapinzani wamenga'nga'na sana na swala la serikali tatu? Ni kweli ni kwa ajili ya maslahi ya watanzania au maslahi ya kisiasa?

Wapinzania hawajawahi kuwa pamoja kwenye maswala ya msingi wala hata kuungana tu kwenye chaguzi ili kutengeneza nguvu ya kuing'oa CCM, ila hapa kwenye serikali 3 wamekua pamoja hasa?

Kwenye kampeni za Lipumba misikitini anawaponda CHADEMA, na CHADEMA wanafahamu hilo, yaani hawa jamaa nje ya malumbano ya serikali 3 ni maadui.

Kwanini tusilazimishe serikali 1 au turekebishe makosa yaliyopo?

USA ilinunua Alaska na New Mexico ili kujiongezea rasilimali watu na ardhi, Huyu Nyerere ambaye wapinzani wanajidai kumuenzi alisema ili tuendelee tunahitaji WATU, ARDHI, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA.

Hapa tunachokosa ni SIASA SAFI NA UONGOZI BORA sasa tuna sababu gani ya kupunguza ardhi na rasilimali watu?

Tukirekebisha kasoro za muungano na wapinzani wakasimamia maswala ya msingi ya nchi hii ambayo CCM wamekua wakibabaisha kama UFISADI ULIOKITHIRI, RUSHWA ELIMU DUNI NA MENGINE LUKUKI TUNAYAFAHAMU.

Nitakuwa wa mstari wa mbele kwenye maandano yatakayoitishwa na wapinzani. Hili la serikali 3 likifanikiwa we will be the f***in' loosers.

Dead analysis.Wapinzani hawapiganii serikali tatu bali wanapigana dhidi ya uchakachaji wa rasimu iliyotoka kwa wananchi na pendekezo la serikali 3 pamoja na mambo mengine waliyoona yatawafaa kwa nchi yao ila CCM wanatumia hila kuyaondoa.
 
Kwa nini Wapinzani hawapiganii wananchi zaidi ya 80 ambao hawaoni tatizo na muundo wa Muungano?
 
Dead analysis.Wapinzani hawapiganii serikali tatu bali wanapigana dhidi ya uchakachaji wa rasimu iliyotoka kwa wananchi na pendekezo la serikali 3 pamoja na mambo mengine waliyoona yatawafaa kwa nchi yao ila CCM wanatumia hila kuyaondoa.

Siasa bana, hatujawai kusikia wapinzani wakiilaumu CCM kukataa maoni ya watanzania ya asilimia 80 kukataa mfumo wa vyama vingi leo wanasema maoni ya watanzania yaheshimiwe! Akina juma Duni walipokua gerezani kwa tuhuma za uhaini nakumba Chirf Emeka Anyouku(kutoka jumuia ya madola) alipokuja alisema kua Zanzibar siyo nchi kwa hiyo Raisi wa Zanzibar hawezi kufanyiwa uhaini, hatukusikia kelele zozote za kua ameikashifu zanzibar lakini neno hilo hilo alipolisema mtoto wa mkulima lilizua mtafaruku karibu eneo lote la visiwani.
 
Anza wewe kutupatia legitimacy ya kuundwa kwa nchi ya Tanganyika baada ya Berlin Conference! Je, wazungu walikubaliana nasi kuiunda Tanganyika mnayoililia kila siku hamlali?

hahahahahahaaaaa!Ma CCM bwana, taabu tupu!!!!!!!!!!!!Mmesahau "Two wrongs......................"
 
Kwanini wapinzani wamenga'nga'na sana na swala la serikali tatu? Ni kweli ni kwa ajili ya maslahi ya watanzania au maslahi ya kisiasa?

Wapinzania hawajawahi kuwa pamoja kwenye maswala ya msingi wala hata kuungana tu kwenye chaguzi ili kutengeneza nguvu ya kuing'oa CCM, ila hapa kwenye serikali 3 wamekua pamoja hasa?

Kwenye kampeni za Lipumba misikitini anawaponda CHADEMA, na CHADEMA wanafahamu hilo, yaani hawa jamaa nje ya malumbano ya serikali 3 ni maadui.

Kwanini tusilazimishe serikali 1 au turekebishe makosa yaliyopo?

USA ilinunua Alaska na New Mexico ili kujiongezea rasilimali watu na ardhi, Huyu Nyerere ambaye wapinzani wanajidai kumuenzi alisema ili tuendelee tunahitaji WATU, ARDHI, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA.

Hapa tunachokosa ni SIASA SAFI NA UONGOZI BORA sasa tuna sababu gani ya kupunguza ardhi na rasilimali watu?

Tukirekebisha kasoro za muungano na wapinzani wakasimamia maswala ya msingi ya nchi hii ambayo CCM wamekua wakibabaisha kama UFISADI ULIOKITHIRI, RUSHWA ELIMU DUNI NA MENGINE LUKUKI TUNAYAFAHAMU.

Nitakuwa wa mstari wa mbele kwenye maandano yatakayoitishwa na wapinzani. Hili la serikali 3 likifanikiwa we will be the f***in' loosers.

you are wrong dude, zanzibar hamna ardhi ambayo Tanganyika inaweza lilia.
 
unapo jiuliza kwanini vyama vya upinzani wanataka serikari 3, pia jiulize kwanini ccm wanataka serikari 2
 
Watz ndo wanataka serikali 3,sio tu wapinzani bali hata ccm na ndio maana viongozi wa ccm wanaogopa kura ya siri maana wanajua kabisa kuwa wabunge wa ccm nao wanataka serikali 3
 
maoni kitu wewe -----! soma kwa kina nilicho andika inawezekana questionare zilikua ktk hali ya ku manupulate majibu ya tume. lakini kama umeelewa nilichoandika usingetukana, otherwise hata mama yako unamtukana. nimetoa faida za muuangano wananchi waliambiwa faida za muungano? au ume kariri maoni ya wananchi dumb ass

utakua mwanasiasa na wewe! wengi wenu ni maslahi binafsi sio watu, CCM , CUF, CDM wale wale. soma nilichoandika kwanza, nchi zote tajiri ardhi na watu ndi msingi wao.. nyerere alikua great thinker kuliko hizi takata ninazoziona kwenye TV bungeni siku hizi ambazo wewe unashabikia. ass hole

Labda utakuwa hauelewi ulichokiandika na kinasimamia nini, Tunasema maoni ya Serikali 3 ni ya wananchi na si vinginevyo. labda angalia vizuri hiki ulichokiandika ambacho nakibandika tena hapa chini halafu uniambie unamaanisha nini.

''Nitakuwa wa mstari wa mbele kwenye maandano yatakayoitishwa na wapinzani. Hili la serikali 3 likifanikiwa we will be the f***in' loosers.''
 
Wew mbona watupotosha wapinzani wanasimamia maoni yetu wa tz yalio wasilishwa na tume ya warioba au wewe mwenzetu hulijui hilo
 
Wew mbona watupotosha wapinzani wanasimamia maoni yetu wa tz yalio wasilishwa na tume ya warioba au wewe mwenzetu hulijui hilo
hivi maoni unajua yanapatiakanaje wewe? wewe binafsi ulisha kutana ma warioba akakuhoji?
 
Ndio wajumbe watume walikuja kata ya mzimuni magomen mapipa na mim nikatoa maoni yangu kama wewe hupata muda bas ujue wezio tumetoa maoni yetu
 
Serikali 3 ni njia bora ya na salama ya kuimarisha Muungano wetu ili uwe wenye usawa na ulio wazi

- Serikali 3 itakuza uwazi na uwajibikaji

- Serikali ya 3 ilikuwepo siku zote

- Serikali 3 ni muundo wazi na mwepesi kuelewa

Nchi moja, Dola moja imara na Serikali 3
CHANZO:zitto tweet!
 
Ushoga unawasumbua Sana wapinzani wetu ila hiyo nia hovu haitafanikiwa
 
Back
Top Bottom