Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja hauviwezi,,,,,huu msemo bado unaendelea kujidhihirisha mbali na ile mifano minne ya Tundu LISSU
 
Muda wa kutoa maoni ulishakwisha namshangaa sana Lukuvi. Tatizo CCM wana hofu wanajua watanzania tushachoka na usanii wao
sasa wameshapigwa bao na waliowapiga bao wameondoka..ccm hawana kipya,hawana majibu....na hawana michango ya maana...wao hupenda kudandia ..miongozi ya kudai sijui nani katukanwa,sijui nani akanushe, sijui nani..kadhalilisha mtu..never kwenye hoja.Sasa hwana cha kuongea...
 
Ikiwa muungano c wa serikali 2 bac ni kuvunja muungano? Hakuna muungano bila ya serikali 2? Hawa watu c bure wana ajenda zao za siri na serikali 2,yaani wako tayari hadi kupandikiza chuki hata za kidini ilimradi matakwa yao yasimame. Democrasia kwetu badoo kabisa wanajifanya tu kutaka bt hawawezi, hakukosea Tundu Lisu wazoea uongo ukweli hawawezi. Km huna hoja bora kukaa kimya. Bcos history itakuja kuwashtaki kwa lolote litakalotokea.utafkiri hizi serikali 2 zimeletwa na Mwenyeezi Mungu kua hazibadiliki.Jamani duniani huko watu wote hawajaungana? Iwe sisi tuu? Hamna wanaojua mfumo mzuri dunia nzima wa muungano isipokua CCM.si sawa alivyofanya na mengine c hofu km alivyosema bali ni uzushi tu wa kushindwa kupangua hoja ya serikali 3 na kuleta hoja ya ubora wa 2.
 
Lukuvi Lukuvi Likuvi Likuviiiii ewe mola mtie kiharusi cha ulimi Mtanzania huyu anayetaka kutufarakanisha sisi wanaadamu wako wa Tanzania tuopendana na kustahamiliana.
 
Lukuvi, kasema mengi sana tofauti na JK, hivi si nyie mapovu yalikuwa yanawatoka Lipumba kuongea Msikitini, leo hii Lukuvi kuwapa wakisrto maelekezo wachague serikali mbili, mmekaa kimya,,daa!!!! chini hii kuna wazalendo wengi sana wabandia.

..mimi msimamo wangu ni kutenganisha siasa na dini.

..nimeeleza toka zamani kwamba kama Shekhe/Mchungaji/Padre anataka kushiriki siasa basi avae "gamba", "gwanda", etc etc.

..hata mle ndani ya bunge la katiba nina wasiwasi sana kwamba wale Maaskofu, na Mashekhe, ipo siku watachafua hali ya hewa mle ndani.

..Lukuvi kasema mawazo yake kuhusu jeshi kufanya mapinduzi ikiwa mfumo wa serikali 3 itapitishwa yanalingana na msimamo wa JK alioutoa bungeni. zaidi, Lukuvi alikwenda huko kanisani kwa niaba ya Waziri Mkuu na serikali ambayo Raisi wake ni JK.

..kwa taarifa yako nina uzi nimeuanzisha ambapo napendekeza CDF Gen.Mwamunyange aitwe kwenye bunge la katiba ili akubali au akanushe madai ya JK na Lukuvi kwamba Jeshi la Wananchi litapindua.

NB:

..mimi nasubiri kuona Lukuvi atachukuliwa hatua gani na Raisi Kikwete.

cc gombesugu
 
Last edited by a moderator:
conflict is a fact of life, conflict has value in organizations because it, 1. spotlights problems that require attention 2. forces clarification 3.can invigorate leaders to strive for permanent solutions 4. directs the efforts or the organization toward finding solutions 5.counteracts lethargy that can overtake organizations 6.challenges old habits and restores dynamic creativity creativity that existed during the organization's formative stages 7. stimulates interest and curiosity.

conflict is the gadfly of thought. it stirs us to observation and memory. it instigates to invention. it shocks us out of sheep like passivity, and set us at noting and contriving ... Conflict is a sine qua non of reflection and ingenuity
 
Interahamwe ndo jinsi walivyo! Ngoja na mimi nichochee moto, nawashangaa sana wabunge waislamu kutoka ccm hasa zanzibar kushangilia kauli ya lukuvi ati kukiwa na muungano wa s3 zanzibar itakuwa ni nchi ya kiislamu, kwani waislamu hawastahiki kuwa na nchi? Nimeamini pesa ilimuua nabii issa, yaani watu wanaisaliti zanzibar yao kwa sababu ya pesa!
 
Yaaani sitta aliongea kwa upole na,kunyenyekeakweli kweli oooh waje milango iko wazi...hahaaaaa.
 
Yaaani sitta aliongea kwa upole na,kunyenyekeakweli kweli oooh waje milango iko wazi...hahaaaaa.

mzee 5+1 ameshindwa kumwambia hadharan MVUVI kuwa amekosea,ila ni kweli amekosea na nahis huko ndan watayajadili,asiyelijadil hili basi atakua anaumwa ugonjwa wa tumbo(njaa) ila iliyopo kichwani,
 
Mwalimu wa UPE ni UPE tu hata umfanyeje. You can take a man (Lukuvi) out of the bush, but you can not take a bush out of him (Lukuvi). Huyu Mwalimu wa UPE ni mji.nga sana. Wajumbe wa BMK wana kinga ya kisheria kwa jambo lolote lile walisemalo wakiwa ndani ya BMK. Lukuvi hawezi kushitakiwa kwa maneno ya uchochezi aliyoyasema akiwa ndani ya BMK. But on the other hand Lukuvi anaweza kushitakiwa kwa maneno ya uchochezi aliyoyasema akiwa kanisani (i.e nje ya BMK). In deed kwa nchi inayofuata misingi ya utawala bora na sheria, maneno ya Lukuvi aliyoyasema akiwa kanisani kwamba kama Watanzania tutakubari serikali 3, basi Jeshi litachukua nchi ni UHAINI. Lukuvi alikuwa ana incite jeshi liasi i.e Coupe de'tat.
 
Lukuvi amechambia jani la mgomba matokeo yake amezidi kujipaka mavi. Aibu yake na ccm yao.
 
Lukuvi amechambia jani la mgomba matokeo yake amezidi kujipaka mavi. Aibu yake na ccm yao.

Lile ni bichwa tupu, tulingojelee pindi litapotoka kuongezwa/recharge akili huko INDIA huenda likatambua upuuzi liloufanza.
 
Anasema kwa habari alizonazo ambazo wengine waliomo ambao wamebaki kwenye BMK ,habari alizonazo ni kuwa CUF na CHADEMA wanamikataba kati yao ,CUF itapewa Serikali ya Zanzibar na CHADEMA watapewa serikali ya Tanganyika na CCM wataachiwa ya Muungano ,naamini kabisa Lukuvi hajui atendalo.:A S 39:

Kwa tafsiri rahisi anamaanisha kuwa Chama chake hakina uwezo wa kushindania kutwaa Tanganyika au Zanzibar.Ni moja ya hofu ambazo aliiainisha wazi kuwa binafsi ni hofu yake.Huyu ni kiongozi mwandamizi wa Serikali.Kauli hii pia inamaanisha kuwa kama Chama chake hakina uhakika wa kuchukua sehemu yeyote ya Jamuhuri hawako tayari kupitisha mchakato huu wakati wanajinasibu kuwa wao ndio walio wengi zaidi hapa nchini.
 
Lukuvi, unataka kusema yaani wanajeshi wanahusudu saana muungano wa serikali mbili kiasi ukibadilika wataasi? Sema tu wazi kuwa kama wapinzani wakishinda uchaguzi ninyi mlioko madarakani mtakabidhi nchi kwa jeshi! Unamaanisha kuwa kuliko CUF au Chadema watawale afadhali Jeshi. Mliunda tume ya Katiba ya nini kama mnao msimamo wenu ninyi mnaotutawala ambao haubadiliki hata kama sisi watawaliwa tunataka mabadiliko? Unanifanya nipende kutawaliwa na Jeshi kuliko ninyi. Naona kuwa mabadiliko ni lazima. Yakija kwa njia ya bunge hili au yakija kwa nguvu ya umma au kwa Jeshi sawa lakini ni lazima!
 
Kosa ni la watawala waliomteua huyu bush lawyer. Lukuvi si ni class seven . Sasa thinking capacity yake imekaa kiclass seven. Huwezi kuwatishia watu katika jambo la maamuzi makubwa kama la kurejesha taifa lao la tanganyika? Huo ndo upeo wake sasa alifikiri waumini watamuona wa maana kuwaambia habari hiyo . Kizazi hiki hakitishiwi nyau mjinga sana huyu bush lawyer.
 
conflict is a fact of life, conflict has value in organizations because it, 1. spotlights problems that require attention 2. forces clarification 3.can invigorate leaders to strive for permanent solutions 4. directs the efforts or the organization toward finding solutions 5.counteracts lethargy that can overtake organizations 6.challenges old habits and restores dynamic creativity creativity that existed during the organization's formative stages 7. stimulates interest and curiosity.

conflict is the gadfly of thought. it stirs us to observation and memory. it instigates to invention. it shocks us out of sheep like passivity, and set us at noting and contriving ... Conflict is a sine qua non of reflection and ingenuity

well said! things like this are inevitable in the society bcoz they help shape it and bring the required & necessary changes.
 
Back
Top Bottom