Recent content by BssU

  1. BssU

    JamiiForums Tanzania Sheria ipi ya nchi inazuia kaka kumuoa dada?

    Bila shaka hiki kipengele kipo kwenye sheria ya kanuni na adhabu. Kifungu nimekisahau
  2. BssU

    JamiiForums Tanzania Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    Sio kweli
  3. BssU

    JamiiForums Tanzania Kwanini pesa za mauzo ya wachezaji wa simba zinaingia kwenye account ya mtu binafsi?

    Sasa wewe hizo hela za mauzo ya wachezaji ulitaka ziingizwe wapi? Kwani wakati wananunuliwa unajua hela zilitoka wapi? Acha uchwara. Tuachie Mooooo wetu Mambo ya kutuchonganisha sie wanasimba acha kabisa. Ushindi ndio furaha yetu Pesa tunamwachia aliyetoa za kununulia[emoji1690]
  4. BssU

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Vifurushi vya mitandao Tanzania: Je, tutarajie nini?

    Ndugu Mteja, Halotel inakutaarifu kutakuwa na mabadiliko katika vifurushi vyetu kuanzia tarehe 16/8/2021. Furahia huduma za Halotel kwa kupiga *148*66#, Asante.
  5. BssU

    JamiiForums Tanzania Simu ipi kati ya Samsung S Series from S10+ na Iphone kuanzia XR inakaa sana na Chaji?

    Ipo Iphone 11 pro max 256 gb. Njoo inbox tuongee Nikeitumia naiuza 1.8 M
  6. BssU

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Wimbo 'Hujambo mwanangu?' - Rostam Ft. Ferooz

    Roma ni Roma 100%
  7. BssU

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Kwa hili serikali imezungua. Hebu wasitutese bhana
  8. BssU

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    [/Hainishtui]red
  9. BssU

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Drone ni dola 100 (Tshs 230,000) na kwa mkoa mmoja ukihama mkoa (location) unasajili upya tena

    Hiyo mizani ya elfu 30 naihitaji
  10. BssU

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Niacheni nikufuru

    Daaa!!! Umenikata stimu mkuu...
  11. BssU

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Niacheni nikufuru

    Mkuu vipi mbona umetutosa, au Corona amekupitia? Maana upo kimya sana!!.Kwanza nipo arosto usiulize
  12. BssU

    JamiiForums Tanzania Tunamdanganya nani kwamba Corona imeisha? Angalia huyu mwanamke aliyetoka nchini kukutwa na Corona huko Namibia

    Mwenye kuleta huu uzi inaonekana una elimu ya kukariri. Acha ujinga amka endesha maisha ya corona yanakuhusu nini?. Unakuwa kama mwanamme anayeishi ukweni. Du yaani.....
  13. BssU

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Niacheni nikufuru

    Mzee baba leo watoto tunalala njaa. Maana hujaenda kutuwindia
  14. BssU

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Niacheni nikufuru

    Mkuu hakuna siku umenikata stimu kama leo. Kesho jitahidi wek a 2
Back
Top Bottom