Nilimaanisha huyo jack kakubali vipi kushare dushe la shogake tena kwa kishawishiwa.Roida hakuwa mke wa mtu,na wala hakufunga ndoa na Idris. Ndio maana hata alipokuwa akitumwa kwenda kumshawishi Jackline alikubali na alikuwa akilipwa. Roida na Idris walikuwa tu kama marafiki ambao machoni pa watu walionekana kama wanandoa. Ingawa walikuwa hawanyimani sex
Mwisho wa siku alikuja kupata wivu baada ya kuona Idris hamjali tena kama zamani. But kiuhalisia, she was there for money.
Soma ile sehemu ambayo Roida anamshawishi Jack awe na Idris.Nilimaanisha huyo jack kakubali vipi kushare dushe la shogake tena kwa kishawishiwa.
Hata wewe ukinijia mie kunishawishi nimpige brake pumbu mkeo lazima nistuke man.
Hapo ndo shidaaaSoma ile sehemu ambayo Roida anamshawishi Jack awe na Idris.View attachment 1474605
Poa mkuu, nitakutag kwenye next sessionsNa mimi nimo
Leo vipi hapa kimya sanaaa
Ngoja msogee nije
Shukran mkuu.
Mkuu, unaonaje ukatusindikizia sehemu nyingine moja ya kulalia mkuu?
Sorry mkuu, kesho nitapost kama kawaida.Hamna nyongeza leo The Prover ?
Hahahaha, daah. Kesho nitatuma nyingine mkuu wangu. Be patientMkuu, unanonaje ukatusindikizia sehemu nyingine moja ya kulalia mkuu?