Uchambuzi: Wimbo 'Hujambo mwanangu?' - Rostam Ft. Ferooz

Njiwa mkubwa kwanini hatagi 😂😂😂 wahuni wanainyea Dreamliner yetu
 
Sijaelewa kuhusu swimming pool ya Rufiji

Kaka yetu aliye hai na yupo hapi!

Naomba mnifafanulie hapo na hizi

Kikoba cha vijana inayoongozwa na kaka

Mama amuangalie kaka yake kwa makini atamfelisha.
 
Sijaelewa kuhusu swimming pool ya Rufiji

Kaka yetu aliye hai na yupo hapi!

Naomba mnifafanulie hapo na hizi

Kikoba cha vijana inayoongozwa na kaka

Mama amuangalie kaka yake kwa makini atamfelisha.

Niivyoelewa,
Swimming pool la Rufiji ni mradi wa bwawa la umeme Rufiji.
Sabaya na Ali hapi

UVCCM inaongozwa na Heri james
Samia amuangalie Speaker Ndugai.

Kwa uelewa wangu, ila kila mtu anaweza kuwa na tafsiri yake, na ndio kazi ya sanaa kama hizi

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ahsante sana
 
Roma analialia eti kwa nini wimbo wa kibamia wameimba na Stamina ila akafungiwa yeye tu😂😂😂😂
 
Naomba kujua kaphone kama kuna sehem katajwa kwa namna yyt ile... Maan mwanzo nilijua mjomba aliyemruhusu mradi umulike kisarawe ni kaphone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom