Recent content by Bs Zungu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wale wa UDOM: Sept 30 ni deadline ya Tuition Fees

    Sio lazima ulipe ada yote unaweza lipa nusu,na kama bodi wamekupa lak 5 na ada laki 7 we unatakiwa kulipa laki 2 ambapo unaweza kulipa nusu laki moja. Suala la dead line sina uhakika sana but cha msingi wakat unaenda fanya regestration uwe tayari umelipa diarest cost na fees hata nusu hapo ndo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Je Inakuaje, na Kinga lakini mtu kapata Mimba.

    Changa ilo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je we ni mmoja wa watanzania mwenye ujinga huu??

    Akiuwa baba ako au mama ako kwa kupigwa risasi na police ndo utaamini kuwa kuna uvunjifu wa sheria,mana kwa wengine ni sawa tu,.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wenye div 3 ya 15 na kuendelea hii inawahusu

    Coz gan iyo 2.5,udom
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mambo 11 usiyoyajua kuhusu msanii Diamond sukari ya warembo

    Hupendi? Hutaki? Huamini? Wacha vijana wanaojituma wale matunda yao Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  6. B

    JamiiForums Tanzania Siipendi CHADEMA

    Kwaiyo maovu ya serikali yasifichuliwe?? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  7. B

    JamiiForums Tanzania Chuo kipi bora kati ya KIU na UDOM ?

    We unaangalia majengo,kwanza ata kwa majengo kiu haingii kwa udom,afu usipendi kujaj vitu kwa kuangalia kwenye tv Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  8. B

    JamiiForums Tanzania Obama kuwasafisha Lowassa na Rostam!

    Unadhani wanakuja bure? Wanachota wanasepa zao we mwenyewe unaona diilii kumbe mshaliwa Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  9. B

    JamiiForums Tanzania Gharama za simu kupanda kuanzia Julai Mosi

    Iyo mitandao haipaswi kuongeza gharama wanapata sana faida wakati mwingine wanakata pexa ata pasipo sababu Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dhihaka ya CHADEMA kwa jeshi la police

    Kwaiyo unataka sema wale polic ni chadema au? Huu umaxn utawapeleka pabaya najua ni njaa tu izo,ukipewa chochote unaropoka tu uku nafsi yako ikikusuta Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Tamko DPP juu ya bomu lililolipuliwa Arusha - CHADEMA wanatafuta Ushindi kwa kura za Huruma

    Anajifanya mchungaji kumbe njaa tu Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wenye div 3 kuachwa jkt ni ishara mbaya

    Makubwa Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  13. B

    JamiiForums Tanzania Clouds fm what do you learn from this

    Iyo ya adam kupigwa haipo jipange tena kutafuta taarifa Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  14. B

    JamiiForums Tanzania HATIMAYE NIMEPATA DIV I: 14 kutoka DIV 4:31 na

    Kusoma sana haimaniishi ndo kufaulu,hatujui umetumia njia gan kupata izo max Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anaweza pata shule ya advance kwa matokeo haya

    Privat anasoma kama kawaida Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Back
Top Bottom