Recent content by Bryson Mbeula

  1. B

    JamiiForums Tanzania Baby Kabae ameondoka Clouds?

  2. B

    JamiiForums Tanzania The returns of Jack Bauer in 24 Live Another Day

    Umetisha mkuu, watu walishaisahau hiyo! inasubiriwa season 10 sasa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma inahitaji mabadiliko ya kifikra

    Wakuu kila tatizo lina chanzo,kwa hapa dodoma chanzo hicho ni elimu duni,kwa mkoa mzima utapata shule chache sana za secondary ambazo ni za uhakika...hivyo ni wakazi wa chache sana wanaopata fulsa ya kusoma kiuhakika wakawa revolutionalists,.. Hali hi pia imesababishwa na watawala wa nchi yetu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania wadau wa series tusaidiane hii kitu..

    pamoja mkuu!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Are you In? Oktoba 5, 2012.... SIKU YA KUWASOMEA WATOTO VITABU

    Hongereni sana wakuu kwa hii movement...i can tell the power of reading books kwa watoto,coz huwa nashangaa sana kuna hadithi za dini baba alikuwa anatusomea(mimi na mdogo wangu) ni muda mrefu sana umepita lakini huwa sizisahau,lakini pia ilinijengea sana hurka ya kupenda kusoma vitabu mpaka...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kati ya Dr Jakaya au Dr Slaa nani Maarufu?

    si kila kitu tulinganishe na marekani,ni asilimia ngapi ya watanzania wapo kwenye hizo social networks??...huko vijijini watu hawajui hata hiyo "Twitter" ni nini!
  7. B

    JamiiForums Tanzania wadau wa series tusaidiane hii kitu..

    Mkuu missing nimeiona lakini mission zao si kali sana...binafsi sijaikubali sana!
  8. B

    JamiiForums Tanzania wadau wa series tusaidiane hii kitu..

    Pamoja sana mkuu,bahati mbaya sikuuona huo uzi!!
  9. B

    JamiiForums Tanzania wadau wa series tusaidiane hii kitu..

    kati ya "prison break" na "24" ipi nikali kwa maoni yako??
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mafukara milioni 30, Mabilionea 30

    So sad,thread imegeuzwa kuwa ya mipasho!! tena within GT's teritory??
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kongwa lina mbunge au kivuli?

    mkuu,hakuna kitu pale,yule jamaa sidhani hata kama anakumbuka kuwa yeye ni mbunge!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Seriously on search.....only serious respondents are welcomed..!

    Ooh!mkuu thanx for such observance! but lets keep it on..pamoja sana!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Seriously on search.....only serious respondents are welcomed..!

    Helo wanajamvi,salute sana kwenu na poleni kwa majukumu!! IM SERIOUSLY LOOKING FOR A COMMITED FEMALE FRIEND....! Im 24yrs old(male),Tanzanian and student in one of the university found in Daressalaam...black is my color and im christian...height is average(160cm)...WHY A FRIEND???...As per my...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Natangaza nia yangu juu ya kutengeneza filamu ya kipelelezi, ila naomba msaada wa yafuatayo...

    hongera mkuu kwa hiyo idea, wishing u all luck..
Back
Top Bottom