Are you In? Oktoba 5, 2012.... SIKU YA KUWASOMEA WATOTO VITABU

Bryson Mbeula

Member
Sep 25, 2011
46
95
Hongereni sana wakuu kwa hii movement...i can tell the power of reading books kwa watoto,coz huwa nashangaa sana kuna hadithi za dini baba alikuwa anatusomea(mimi na mdogo wangu) ni muda mrefu sana umepita lakini huwa sizisahau,lakini pia ilinijengea sana hurka ya kupenda kusoma vitabu mpaka sasa nipo chuo!!...when i get chance i ll be glad to join that movement..!
 
Elizabeth Dominic

Platinum Member
Dec 7, 2007
4,558
2,000
Hivi naweza kukusanya watoto wa kitaa nikawasomea eeh?
Ngoja niangalie jinsi ya kuandaa somo

Hata kama sijajiandaa kununua vitabu vingi, si naweza print mtandaoni na kwenda kuwakusanya watoto wa mtaani kama 20, nawagawia nakala, tunasoma pamoja? Baada ya kusoma juisi za vijoti box 1 na pocorn za namanga tosha kabisa.

Tena hii ni assigment yangu wiki hii

Umenipa wazo..............
 
StayReal

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
518
195
375946_10151182119796156_75347272_n.jpg

Nimeipenda hii!
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,014
1,500
weekend hii nafanya kitu kwa watoto wa mtaani kwangu.

Nikualike unisaidie kuja kuwasomea vitabu?

Hivi story nzuri za kiswahili nitapata wapi?
Naomba kama unajua site ni download?

Nitaalika na under 5 watakuwa wanapaka rangi, nitaprint cartoons blank.

Am loving this, nina muwashawasha kweli.

EMT and Mwali like this. hahahaha
 
Mwali

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
7,018
0
weekend hii nafanya kitu kwa watoto wa mtaani kwangu.

Nikualike unisaidie kuja kuwasomea vitabu?

Hivi story nzuri za kiswahili nitapata wapi?
Naomba kama unajua site ni download?

Nitaalika na under 5 watakuwa wanapaka rangi, nitaprint cartoons blank.

Am loving this, nina muwashawasha kweli.
Jaribu hapa (link) ila hakkisha unakisoma kwanza isije ikawa remix:
"white snow and the seven dwarf" inaweza kuja kua bonge la XXX
Mwenyewe nimechukua appointment in an orphanage kabisa. safii
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
43,474
2,000
Kongosho na Mwali

kuna kampuni ya printing ilikuwa inaitwa 'Mkuki na Nyota' i guess
walikuwa na vitabu vizuri vya kiswahili

so mkisomea watoto vitabu msisahau 'utajiri wa kiswahili'
vitabu vipo viingi
tabu ni 'specific shop' ya kuvipata
 
Last edited by a moderator:

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,208
2,000
kumbe ni majumbani? Na tusio na watoto majumbani je? I planned kuenda hospitali, ward ya watoto na kusoma nao. . . .

Kwa kweli si lazima iwe majumbani; inaweza kuwa popote. Unaweza kwenda kwenye shule ya chekechea au hata shule ya msingi. Unajua ukiwasiliana na shule kwa mfano wako tayari mara nyingi tu kufanya hili. Utashangaa.
 
Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,208
2,000
Hivi naweza kukusanya watoto wa kitaa nikawasomea eeh?
Ngoja niangalie jinsi ya kuandaa somo

Hata kama sijajiandaa kununua vitabu vingi, si naweza print mtandaoni na kwenda kuwakusanya watoto wa mtaani kama 20, nawagawia nakala, tunasoma pamoja? Baada ya kusoma juisi za vijoti box 1 na pocorn za namanga tosha kabisa.

Tena hii ni assigment yangu wiki hii

Now we are talking... tayari mwenzetu mmoja huko Mbeya yeye anasubiri kwa hamu kweli; tayari keshapata watoto 12 wa mtaani kwake..
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,014
1,500
boss, nikileta vya kingereza atasoma nani?

Watoto wengi wako st kayumba.

Mie lazima viwe vya kiswahili, kizungu hatutaelewana kabisa.

Asante kwa reference
Kongosho na Mwali

kuna kampuni ya printing ilikuwa inaitwa 'Mkuki na Nyota' i guess
walikuwa na vitabu vizuri vya kiswahili

so mkisomea watoto vitabu msisahau 'utajiri wa kiswahili'
vitabu vipo viingi
tabu ni 'specific shop' ya kuvipata
 
Last edited by a moderator:

Nsiande

JF-Expert Member
Jul 27, 2009
1,649
1,195
yaani mtaa naoshi, una watoto karibu 50 chini ya miaka 12, hapa napanga tu nitawezaje fanya na wote wakaelewa na kufurahi.

Raha sana, mimi ni mpenzi mkubwa sana wa vitabu,napenda sana kusoma na kujisomea na nyumbani japo mama alikuwa mwalimu lakini hatukusomewa tuliletewa tujisomee

Nilisoma sana hadithi fulani za warusi ( collection) nilipokuwa mdogo zilizotafsiriwa kwa kiswahili, kwakweli zile hadithi zilikuwa za kusisimua sana nazikumbuka mpaka leo (barua isiyopelekwa,mwanamke aliyegonga hodi saa kumi, bwana harusi na nyinginezo,nilikuwa darasa la 2 )

Ni wazo zuri sana, sijawahi kufikiri kumsomea mwanangu kitabu japo nawanunulia sana

Nakumbuka darasa la 3 ( shule ya msingi Gangilonga ) nilitandikwa haswa kwa kukutwa na kitabu nakikumbuka mpaka leo 'Dogodogo wanitesaaaaa'

Nitawasomea vitabu kadhaa kutokana na umri wao, na nitajitahidi iwe mazoea maana TV (cartoons )ndio inabembeleza watoto walale sikuhizi
 
BelindaJacob

Platinum Member
Nov 24, 2008
6,301
2,000
matatizo ya mlimani city ni price
unakuta bei twice ya price ya Europe
sasa wwangapi watamudu?
tunahitaji printing revolution kama ya India

Very true Boss, yaani nilipita pale na bby girl wangu vitabu bei haishikiki ambapo ningekuwa UK naweza kupata hata 3 kwa price ya kimoja(sababu vitabu vingi niliona na tunavyo nyumbani). Ilibidi niondoke na kimoja alichagua mtoto, anapenda sana kusoma vitabu na ana miaka 5 hivyo najitahidi sana kumnunulia vitabu mbalimbali.

Mwanakijiji, I'm so tuned kuona kitakachotokea..2 days to go!!!
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
43,474
2,000
Raha sana, mimi ni mpenzi mkubwa sana wa vitabu,napenda sana kusoma na kujisomea na nyumbani japo mama alikuwa mwalimu lakini hatukusomewa tuliletewa tujisomee

Nilisoma sana hadithi fulani za warusi ( collection) nilipokuwa mdogo zilizotafsiriwa kwa kiswahili, kwakweli zile hadithi zilikuwa za kusisimua sana nazikumbuka mpaka leo (barua isiyopelekwa,mwanamke aliyegonga hodi saa kumi, bwana harusi na nyinginezo,nilikuwa darasa la 2 )

Ni wazo zuri sana, sijawahi kufikiri kumsomea mwanangu kitabu japo nawanunulia sana

Nakumbuka darasa la 3 ( shule ya msingi Gangilonga ) nilitandikwa haswa kwa kukutwa na kitabu nakikumbuka mpaka leo 'Dogodogo wanitesaaaaa'

Nitawasomea vitabu kadhaa kutokana na umri wao, na nitajitahidi iwe mazoea maana TV (cartoons )ndio inabembeleza watoto walale sikuhizi

Nsiande wanitesaaa lol

mimi nilipokuwa na miaka 9 nilikamatwa na kitabu kinaitwa 'kandanda kitandani' lol
we acha aisee

Vitabu vya warusi?
sio na kile cha 'Binti Chura'?
 
Last edited by a moderator:

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,208
2,000
Unajua kuna wakati kuna vitu viko ndani ya uwezo wetu na hatuvifanyi au tunavifanya kwa mazoea tu. Nawashauri mtakaokuwa nyumbani kusoma makala yangu ya Tanzania Daima nimeandika kwa kirefu kuhusu hili hapo kesho. Tunachotaka na kwa kweli haitaishia mara moja. I'm so tempted kuwa tukifanikiwa Ijumaa hii tufanye tena ile Tarehe 14 Oktoba 2012 kwa sababu itakuwa ni holiday na labda tunaweza kufanya zaidi kidogo.

Lets do something about it.. unajua nilikwazika sana moyoni kusikia ati kuna watoto wanaenda sekondari wakiwa hawajui kusoma na kuandika. Watu wengi walifikiria labda ni kosa la serikali au walimu... nafikiri kuna shida pia kwa wazazi jamani. Ukiondoa wazazi ambao wamepitia shule na kupenda vitabu ni wazazi wangapi huko mitaani ambao wanasoma zaidi ya magazeti ya udaku? au kusikiliza radio zaidi na kuangalia luninga.

Hili ni moja tu.. lets to it and lets continue to bring the change we want..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom