Recent content by bryleen

1. bryleen

Unakumbuka mapenzi ya sekondari? ...kipindi hamna simu za mkononi?

hahaaaaaa,umenivunja mbavu nzangu mdau.
2. bryleen

Hasara za ushauri wa rafiki kimapenzi..

i lyk da class na ni kweli tupu.ngoja nijipange upya:shock:
3. bryleen

Ndio kuachwa huku au?

asante mamii na mi kuna muda nakkaa nafikiria hayo na ndio maana sijawahi mwambia tuachana wal nn bado nina nafasi ya kujua ukweli tutakapokaa na kuongea.asante sana mpendwa
4. bryleen

Ndio kuachwa huku au?

thanx much na ndicho nachofanya saivi ni kupishana koridoni kama hatujuani ingawa ni kama inamuuma coz kama anatamani hata anisimamishe aongee na mimi afu mungu ni mwema mi ni mtu wa kujichanganya so m always happy nadhani kama mungu kanipangia huyo its okey bt kama sivyo pia nitamshukuru mungu.
5. bryleen

Ndio kuachwa huku au?

Natumai wote mko pouwa wapendwa wana jf!nisameheni kwa kutoonekana maeneo haya siku nyingi ila mungu ni mwema nimerudi tena,hapa simuongelei mtu wala kuigiza ila hii na yangu mwenyewe imenitokea na inaendelea mpaka sasa please naombeni ushauri wenu wandugu na naomba matusi na kashfa zipunguzwe...
6. bryleen

Assume ndo wewe!

Pombe iliwaisha walai cpati picha hzo mbio walizotokanazo hapo
7. bryleen

mama mkwe na binti

kamkomesha
8. bryleen

Wanaume wenye ndoa ni wazinzi kuliko mabachelor

yani karesearch hako mi ningekuwa ndo msimamizi wako walai ningekupa A i mean100% yani ni kaukweli balaa
9. bryleen

eti hiki ni kgezo cha upendo wa dhati....

hakuna k2 kama hicho,hakuna upendo wala nn mwaya zaidi ya kukujaribu ili aone ukoje ukijifanya hujamind my dia kesho yake unashangaa anakugeuza nyuma!
10. bryleen

Eti tatizo ni kabila lake tu! Mawazo yenu tafadhali

nadhani cha msingi ni ww kumueleza ukweli hata kama utamuuma kiasi gani bt ipo cku ata move on na itabk history hakuna k2 kibaya kama kugombna na mzazi kisa mke au mume u neva knw kwann hawataki bt kaa kwanza na wazazi wakwambie kwann hawapendi umuoe na pia chunguza madai yao kama yana ukweli...
11. bryleen

hedhi

sidanganyiki
12. bryleen

hedhi

sawa sitampa
13. bryleen

hedhi

Thanx much
14. bryleen

hedhi

habari za leo!napenda kujua ni siku gani hasa za kupata mimba kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 za hedhi!
15. bryleen

My wife to be ananuka mdomo,naogopa kumwambia!!

Jamani cdhani kama 2kianza kuchunguzana ni lini w2 wamejiunga na jf ndio 2tasolve matatizo y2 na2mai jf imewekwa na kwa uzuri zaidi wameamua kuweka forums mbalimbali ambapo kunatakiwa kuwe na mada zitakazoendana na hapo sa mnanishangaza kuanza kumponda mwenze2 wakati anahtaji ushauri after all...
Back
Top Bottom