hedhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hedhi

Discussion in 'JF Doctor' started by bryleen, Aug 22, 2011.

1. bryleen

bryleen Member

#1
Aug 22, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 90
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
habari za leo!napenda kujua ni siku gani hasa za kupata mimba kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28 za hedhi!

2. f

fukunyungu JF-Expert Member

#2
Aug 22, 2011
Joined: May 16, 2011
Messages: 726
Likes Received: 29
Trophy Points: 45
njoo tutest!

3. m

mnyakyusa JF-Expert Member

#3
Aug 22, 2011
Joined: Feb 24, 2010
Messages: 248
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Duuhh... jamani haya yanapatikana kwa MAKUNGWI!!!!

4. Dumelang

Dumelang JF-Expert Member

#4
Aug 22, 2011
Joined: Aug 11, 2011
Messages: 2,190
Likes Received: 1,540
Trophy Points: 280
Gawanya siku za mwanamke (28) kwa tatu (3), yaani toka siku ya kwanza mpaka ya 28. Utapata 9, kwa hiyo kuanzia siku ya kwanza mpaka ya tisa( zikiwamo zile za hedhi) ni salama. Kuanzia siku ya 10 mpaka 18 itakuwa ni siku za hatari, ikimaanisha uwezekano wa kubeba mimba ni mkubwa. Kuanzia siku ya 19-28 ni kipindi salama tena. Lakini huwa si ya kuaminika mara zote, kwani mwili wa mwanadamu hubadilika(Dynamic) so it will be wise to use extra protection along with safe period.

5. Daffi

Daffi JF-Expert Member

#5
Aug 22, 2011
Joined: Jun 25, 2011
Messages: 3,803
Likes Received: 178
Trophy Points: 160
Siku ya 13,14,15 na 16 baada ya hedhi

6. Baba Collin

Baba Collin JF-Expert Member

#6
Aug 22, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 458
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
9-17.baada ya hedhi kwa uhakika zaidi.hapo usimpe.ukimpa imekula kwako.

7. Riwa

Riwa JF-Expert Member

#7
Aug 22, 2011
Joined: Oct 11, 2007
Messages: 2,601
Likes Received: 234
Trophy Points: 160
Whao...Dumelang hii formula yako sijawahi kuisikia lakini ni ukweli kabisa (only kwa wenye mzunguko wa siku 28 kama huyu mleta mada), i'publish' mkuu kama hujaicopy sehemu!

8. bryleen

bryleen Member

#8
Aug 22, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 90
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Thanx much

9. bryleen

bryleen Member

#9
Aug 22, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 90
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

sawa sitampa

10. bryleen

bryleen Member

#10
Aug 22, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 90
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

sidanganyiki

11. Dumelang

Dumelang JF-Expert Member

#11
Aug 22, 2011
Joined: Aug 11, 2011
Messages: 2,190
Likes Received: 1,540
Trophy Points: 280
lol...Cjakop bana ila niliipenda sana Biology na mara nyingi nasoma article, books related to human body, zikiwepo hizi...salute 2 u too

12. S

Samkyjr JF-Expert Member

#12
Aug 22, 2011
Joined: Mar 21, 2011
Messages: 364
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Wenye mzunguko wa siku 28, siku ya 1 ni ile anapoingia hedhi hutakiwi kufanya mapenzi siku 5 kabla ya hedhi kwa sababu sperms survive for 3 or 4 days in female body, siku 4 au 5 wakati wa hedhi pia siku 3 baada ya hedhi this is called dry period ( no mucus vagina become dry) after that you can sex without protection until 5 day before hedhi.

13. Money Maker

Money Maker Senior Member

#13
Aug 22, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 147
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Du!leo nimepata darasa tosha,mie huwa naomba mechi tu kumbe kuna mahesabu!

14. Nyalotsi

Nyalotsi JF-Expert Member

#14
Aug 23, 2011
Joined: Jul 20, 2011
Messages: 5,104
Likes Received: 552
Trophy Points: 280

mkuu hapa nabeba bango! wher z dis biology?

15. First Born

First Born JF-Expert Member

#15
Aug 23, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,315
Likes Received: 96
Trophy Points: 145
kama ulikuwa na nia na kama swali lako uliliumaanisha basi madaktari watakuwa wamekupa ulichokuwa unakitaka

16. Parasite

Parasite Senior Member

#16
Dec 21, 2013
Joined: Aug 20, 2013
Messages: 194
Likes Received: 53
Trophy Points: 45
listen guyz mizunguko iko mingi sana kulingana na utolewaji wa homones,but if mnakumbuka bios Experts wanasema njia rahis kabisa yakushika mimba ni siku ya 15 back from the last day of your circle,yaan hapo sasa lazima mdada ajue aina ya mzunguko alionao.kama mzunguko wake ni siku 28 hesabu hizo siku utaona ya kumi na tano itaangukia siku ya 14,kwahiyo kila siku ya 14 ni hatari kwake then ingiza swala la sperms kuwa hai kwa siku2 inabidi awe makin tangu siku ya12 after hapo atongeza siku2 mbele kwa usalama zaidi.baada ya hapo cheza game mwanzo mwisho.hii itaaprove ugumba kwa wanawake wenye hedhi hafifu ya siku 25 ambapo ukitumia hiyo formula hapo utkuta game linajirudia kwenye safe zone kama unabisha nitafute nikupe darasa.pamoja wadau.

17. utafiti

utafiti JF-Expert Member

#17
Dec 21, 2013
Joined: Jul 18, 2013
Messages: 12,831
Likes Received: 93
Trophy Points: 0
Haha ulikua unamsubiri aanze tu umjibu

18. Parasite

Parasite Senior Member

#18
Dec 21, 2013
Joined: Aug 20, 2013
Messages: 194
Likes Received: 53
Trophy Points: 45
wadau wote tuna ndevu hapa hakuna mtoto na kama yupo sio kamawazo,hivyo kaeni mkijua kwamba mimba ndani ya siku 10 tangu siku ya kwanza kuona bleed ni asilimia5 tu ndio wanapata kwa ufupi hakuna,hii nikwasababu yai la mwanamke kwa utafiti mpya huwa tayari kurutubishwa kuanzia siku ya 11 kwa asilimia 20 siku ya 12 kuendelea ni asilimia 75,ambapo mwisho kabisa ni siku2 mbele kutoka pale ilipo angukia siku yako ya15.na mizunguko iko mingi huu ni mfano kuna mizunguko ya siku 25,26,27,28,29,30,31,32,33,34,35,ambapo ukimchukua huyo mwenye mzunguko mrefu utaona siku yake ya15 kurudi nyuma inaangukia siku ya21 tangu siku ya kwanza ya mzunguko.have a gud time

19. Parasite

Parasite Senior Member

#19
Dec 21, 2013
Joined: Aug 20, 2013
Messages: 194
Likes Received: 53
Trophy Points: 45
yuko kiutani sana huyo

20. asha ngaswaga

asha ngaswaga Member

#20
Dec 21, 2013
Joined: Nov 16, 2013
Messages: 48
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
As an ten ckujua

Loading...