Eti tatizo ni kabila lake tu! Mawazo yenu tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti tatizo ni kabila lake tu! Mawazo yenu tafadhali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Magnificent, Aug 22, 2011.

1. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#1
Aug 22, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160
Ni binti wa 2nd year ktk moja ya vyuo vikuu hapa nchin ambae nimekuwa kwnye uhusiano nae kwa miez 8 sasa,nampenda na ananipenda pia.
Inshu iko hivi,mama yangu na ndugu zangu hawataki hata kumsikia baada ya kuwaeleza nia yangu ya kumuoa,wamekwenda mbali zaidi na wameahd kutonipa ushirikiano wowote wa kindugu kama nitamuoa.
Niliamua kumweleza mpnz wangu hali halisi,lakini ndo kwanza hajaelewa kitu na anadai ananipenda sana ha hayupo tayar kutengana na mimi,anasema yupo tayari kwa lolote lile na anaamini ipo siku wazaz watakubali.
Binafs sipo tayar kuingia kwenye ndoa isyo na baraka za wazazi wangu nawaheshimu sana na ninauthamin mchango wao ktk maendeleo yangu,vilevile namhurumia sana mpnz wangu kwa vile najua yatamkuta makubwa,na nimemwambia hali halis mpnz wangu lakn haelew kabisa,nampenda sana mpnz wangu lakin nawapenda na kuwaheshimu zaid wazaz wangu,wanasema wapo tayar niwaletee mwanamke wa kabila lolote lile kutoka Afrika watatoa baraka zao lakini si wa kabila lake(Mchaga).mbaya zaidi hata ndugu na marafk zangu wa karibu nao hawapo upande wangu,nampenda sana mpenzi wangu nae ananipenda pia..
Ushauri wenu ni muhimu sana wandugu,
nawasilisha....

2. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#2
Aug 22, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Sasa unataka ushauri gani na umeahasema wanachotaka wazazi wako ndicho unachotaka?‘

Mwache tu ataumia sasa hivi ila mbeleni atampata atakaemkubali pamoja na familia yake.Nyie bakini na ubaguzi wenu wa kishamba!!

3. t

the mkerewe JF-Expert Member

#3
Aug 22, 2011
Joined: Nov 16, 2010
Messages: 232
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
sijaisoma hiyo posti kwa umakini ila heading nimeielewa
UKABILA !!!!!!!!!UNA FUNCTIONAL ROLE GANI NA MKE/MUME?

4. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#4
Aug 22, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

japokuwa nampenda sana,nipo tayar kumuacha...ila yeye sasa,nahc atajiua soon! Kama nikimuacha,nina mawazo sana dada angu,we acha2

5. Tulizo

Tulizo JF-Expert Member

#5
Aug 22, 2011
Joined: Jun 13, 2011
Messages: 849
Likes Received: 21
Trophy Points: 35
Bugumya..kuheshimu wazazi si tafsiri yake kuwa na nidhamu ya woga na ya kibaguzi ..

Mungu ameagiza mpende jirani yako kama nafsi yako..hakutenga wachanga toka kwenye kundi la jirani.. Hivyo kama unao uamuzi unaopingana na wazazi kwenye hilo..huna kosa..

Kikubwa tumia busara ku-balance mambo na wazazi..lakini inaelekea huna ubavu huo..labda ujifunze sasa baada ya kusoma comments zetu..

6. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#6
Aug 22, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

soma kwanza post,we mwenyewe mkabila tu(username yako ni uthibitisho tosha)

7. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#7
Aug 22, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

ahsante mkuu,naendelea kufualia comments,na hyo ndio nia yangu hasa.

8. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#8
Aug 22, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Sasa unataka tukushaurije?!Umuwekee ulinzi ili asijiue?!
Nenda kamshtaki polisi kwamba anataka kujiua...nadhani watajua cha kufanya!

9. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#9
Aug 22, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

nishaona unataka ligi,nway huna ushauri kaa pembeni,ngoja niendelee kusoma comments za watu wenye busara,me mipasho sina kipaji kwenye hzo taarab zako dadangu.

10. EvJ

EvJ JF-Expert Member

#10
Aug 22, 2011
Joined: May 3, 2011
Messages: 200
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
wachaga wachaga wachaga jaman jrekebshen mbona watu weng sana wanaogopa?bse mkiwa kwenye uchumba mnajfanya wanyenyekevu then after mnaota mapembe.JIREKEBISHEN NA TABIA ZENU MBAYA

11. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#11
Aug 22, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

he! Kumbe ni kweli....

12. EvJ

EvJ JF-Expert Member

#12
Aug 22, 2011
Joined: May 3, 2011
Messages: 200
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Ni ukwel nawajua vzur mkelewe wa wa2 run mapema,mwongo huyo anakudanganya atajiua il utangaze ndoa,they a gud pretenders.m nina ushuhuda wa ndugu zangu now wanaona ndoa chungu.

13. Prof Gamba

Prof Gamba JF-Expert Member

#13
Aug 22, 2011
Joined: Jun 10, 2011
Messages: 390
Likes Received: 114
Trophy Points: 60
Watu wengi sana huwa nawasikia kama hawapendi kuwa kwenye ndoa na wachaga lakini sababu za kina bado sizijui.
Je wazazi wako wamekueleza kwanini usimwoe mchaga? na je hapo kabla wamewahi kukuambia kuwa katika uchaguzi
wako wa mke usijethubutu kuchagua mchaga?

Mimi nadhani wazazi kwa namna yoyote ila mpaka kufa kwako utakuwa karibu nao lakini ukiachana na huyo binti itakuwa
ni maumivu ya muda mfupi then mtasahauliana maana kila mmoja ataenda zake na kuanza uhusiano mwingine.
Ila nashauri usimwache ghafla na itapendeza ukianza kwa matendo ya taratibu ili asije akajinyonga kama ulivyodai mwenyewe
ukizingatia mna miezi nane tuu ambayo ni muda mfupi mno kimahusiano.
Pole sana ndugu ila ndo maisha.
Pole sana

14. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#14
Aug 22, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

thanx,nitaufanyia kaz ushaur wako

15. bryleen

bryleen Member

#15
Aug 22, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 90
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
nadhani cha msingi ni ww kumueleza ukweli hata kama utamuuma kiasi gani bt ipo cku ata move on na itabk history hakuna k2 kibaya kama kugombna na mzazi kisa mke au mume u neva knw kwann hawataki bt kaa kwanza na wazazi wakwambie kwann hawapendi umuoe na pia chunguza madai yao kama yana ukweli ukiona ni sawa then huna budi kumwambia kuliko kuendlea kuwa nae then huna mpango wa kumuoa!

16. Shantel

Shantel JF-Expert Member

#16
Aug 22, 2011
Joined: Feb 7, 2011
Messages: 2,021
Likes Received: 24
Trophy Points: 0
Duh hivi wachaga kwa nn wanaogopewa?

17. F

FredKavishe Verified User

#17
Aug 22, 2011
Joined: Dec 4, 2010
Messages: 1,090
Likes Received: 18
Trophy Points: 135
Best ushauri wangu go 4 her'usimuache kama kwel mnapenda hata wazaz dunia zima ukikutenga ww simama imara sijui tatzo la wachaga wanawake'bt mmi mchaga mama na baba wote'navyokuambia hakuna wanawake wachakarikaji kama wachaga'hakuna binadamu asiye na matatzo wote tuna matatzo lakin kwa kukaa na kujua tatzo la mtu na kulisolve ndo the best way usimuache mpaka kuambia kwa sababu gan?

18. M

Mapujds JF-Expert Member

#18
Aug 22, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Hata mimi baba yangu aliniambia nisithubutu kuja kuoa mchaga but sababu hakuniambia na ninalizingatia hilo sana kwani lisemwalo lipo na kama halipo laja.muache huyo dada ndugu yangu.

19. k

kisukari JF-Expert Member

#19
Aug 22, 2011
Joined: Jul 16, 2010
Messages: 3,757
Likes Received: 1,045
Trophy Points: 280
ama kweli,kwa ninavyojua ukimpenda mtu unampenda hasa.kama ana tabia nzuri mimi sioni tatizo.na kama unampenda kwa nini usiwe strong na uwaeleweshe wazazi wako,na huyo dada ajaribu kujipendekeza kuwa karibu na ndugu zenu ili waelewe mapenzi hayajali ukabila.katika maisha jaribu kuwa na uamuzi wako mwenyewe,hasa kama uamuzi unauona ni wa busara kwako

20. Power G

Power G JF-Expert Member

#20
Aug 22, 2011
Joined: Apr 20, 2011
Messages: 3,911
Likes Received: 88
Trophy Points: 145
Usidanganywe hakuna mtu wa kujiua hapo. Hata sie wenzio tuliishaambiwa maneno hayo hayo lakini hakujiua mtu hata siku moja.

Loading...