My wife to be ananuka mdomo,naogopa kumwambia!!

Mi sidhani kama anamdhalilisha mwanamke wala nini, ni member tu mwenzetu ana tatizo na anahitaji msaada, na ilishawahi wekwa humu na mdada mwingine akihitaji msaada na watu wakamsaidia sana, embu msaidieni

Mie kama nakushauri mwambie bila kificho kabisa,mie mpz wangu anajua sana niko sensitive na mambo yaharufu za mdomo na anapenda denda kwa hiyo yuko tayari kila tunapotaka kuwa faragha anaswaki fresh na hapo sio harufu ki vileeee ila inanikera tu, kwa hiyo na huyu dada atakuwa na tatizo, labda jino limetoboka anatakiwa apige mswaki mara kwa mara amalizapo kula chakula ili kisikae kwenye meno na kusababisha harufu,nakushauri usisite kumwambia coz unaweza jikuta unaachana na mwenza wako bure??cha mwisho mkumbushe akiswaki asugue ulimi hii watu wengi huwa wanajisahau sana, ulimi utakuta mweupee baada ya kuwa mwekundu ule weupe wote ni uchafu
 
1. Nunua line ya simu.
2. Weka kwenye simu yako.
3. Mtumie ujumbe mfupi wa maneno.
4. Itupe hiyo line.
 
Siku zote anayenuka mdogo hajijui huenda pia unatatizo hilo la kunuka mdomo ninakushauri si vema ukaleta thread kama hi hapa kwani tatizo hili wakati mwingine ni la kiafya linahitaji tiba ya kitaalamu ikiwa ni mpenzi wako ni suala la kuwasiliana naye ujue tatizo ni nini then umsaidiane jinsi ya kupata matibabu.
Pia lugha uliyoitumia ni mbovu na haina heshima inaonekana wewe ni mchanga katika mapenzi au your not mature enough in love, acha ujinga!
Matatizo mangapi yameletwa hapa mengine makubwa yanahusisha sehemu za siri? hili la mdomo ndio liwe zito ki hivo? ni vizuri kuambiana ukweli kuliko kukaa na vijiba huishia kuachana kabisa
 
Hivi kweli mpenzi wako unaempenda kwa dhati kabisa unathubutu kuja kumuanika namna hii ilhali hujachukua hata hatua yeyote ya kuweza kumsaidia ?? You are not serious at all......!!
 
Umejiunga tarehe 30 mwezi wa 7, 2011 na unadiriki kusema MMU imeingiliwa? Au upo humu tokea zamani na kilichobadilika ni ID tu?
Sio lazima awe memba, inawezemana alikuwa anahudhuria kama guest. Nadhani MMU sio members only forum.
 
Hivi hujagundua saizi tuna members wengi kweli MMU ambao ni wapya alafu hua wana refer mambo ya nyuma kuonesha dhahiri mwenyeji.... kuna mmoja alikua na post 7 alafu aka comment kwa one of the MMU members kua anatambua kua ni mbishi saana...
<br />
<br />
Ashaa mi cjkwez ila uliwai nisaidia kuweka nymbo kwenye thread flan mana nilikuwa cna pc na nilikuwa bush.
Nadhan unakumbuka wa lucky dube.
 
ingia jf dr tafuta hiyo tiba yake ipo mi nilimtengenezea bint yangu na tatizo limekwisha kabisa.
 
Jamani cdhani kama 2kianza kuchunguzana ni lini w2 wamejiunga na jf ndio 2tasolve matatizo y2 na2mai jf imewekwa na kwa uzuri zaidi wameamua kuweka forums mbalimbali ambapo kunatakiwa kuwe na mada zitakazoendana na hapo sa mnanishangaza kuanza kumponda mwenze2 wakati anahtaji ushauri after all keshasema hataki kumpoteza mdada cz he z in love nadhani lazima m2 uwe open ili tatizo lako lishughulikiwe na kwa ushauri w2 weng wanarudi kusema asante plz plz 2toe ushauri hata kama topic kwa kiasi flani itakuchefua bt hebu 2jaribu kujiweka ktk nafasi yake na kumjibu muhusika kadri ya uelewa na uwezo w2!
 
Ukizingatia hata hatujuani
 
<br />
<br />
Ashaa mi cjkwez ila uliwai nisaidia kuweka nymbo kwenye thread flan mana nilikuwa cna pc na nilikuwa bush.
Nadhan unakumbuka wa lucky dube.

Lmao.... Dah! Kweli sikuwezi (and wasema huniwezi.... Dah!)

Nimecheka literally mpaka machozi... maana natambu uko kifungoni....lol

Vipi unajisikiaje hali yako saizi?? Na upo town au porini? lol

Ded to you.... THE ONE - By Dube...
 
kila mkutanapo mkikaa takriban saa 4 mwombe/mshawishi muoge +kupiga mswaki tn ikiweyekana mpigishe mswaki we mwenyewe km ni muelewa atakuelewa tuu na atakuwa anasafish mdomo wk mara kwa mara awapo na wewe
 
pole sana,matatizo mengine ya kunuka mdomo,mbali na sababu ya kutopiga msuaki vizuri,pia saa nyengine matatizo yanakuwa ndani ya tumbo,mwambie kistaarabu,usipomwambia wewe aambiwe na nani?bora umseme wewe kuliko awe anasemwa na watu nje ila kumwambia wasiweze.
 
Hilo nalo ni tatizo mkuu, natumia uzoefu binafsi wa uhusiano niliopata kuwa nao kukiri kwamba vitu vidogo kama hivi vinaweza kuhatarisha uhusiano.

FIX it mapema rafiki, vunja ukimya, tumia hekima kumshirikisha, na pengine kama na yeye ana linalomtatiza kuhusiana na wewe weka mazingira ya kusikia toka kwake.
 
Dawa zipo mkuu kanunue Med oral awe anasukutua kinywa au atumie zile dawa za meno za Aroevela...kuhusu huko chini apige kopo kisawa sawa aoshe na detol ni Funngus tu hao mkuu
 
Hivi hujagundua saizi tuna members wengi kweli MMU ambao ni wapya alafu hua wana refer mambo ya nyuma kuonesha dhahiri mwenyeji.... kuna mmoja alikua na post 7 alafu aka comment kwa one of the MMU members kua anatambua kua ni mbishi saana...
Kwani hili jukwaa ni la wakongwe tu ama kila mtu anaweza changia no mata ni new member au mkongwe aceni watu watu watoe ideas zao bwana.
 
Back
Top Bottom