Wanaume wenye ndoa ni wazinzi kuliko mabachelor

kuna haka karesearch nimekaona mahali

eti
wanaume wenye ndoa katika katika10 -8 wanatoka/wanatamani wanawake wa nje

wanawake ambao hawajaolewa asilimia 90 wanatamani kuolewa

wanawake walioolewa asilimia 99 wanatamani kutoka kwenye ndoa zao

je kuna kaukweli jamani?

kama walioolewa 99 percent wanataka kutoka nje mi sioi.

kuna haka karesearch nimekaona mahali

eti

wanaume wenye ndoa katika katika10 -8 wanatoka/wanatamani wanawake wa nje

wanawake ambao hawajaolewa asilimia 90 wanatamani kuolewa

wanawake walioolewa asilimia 99 wanatamani kutoka kwenye ndoa zao

je kuna kaukweli jamani?

you should submit evidence to justfy you thread please.

[Reaserch yako ina data za uongo, data kamili ni kama ifuatavyo.

Wanaume asilimia 100 wanatamani kutoka nje yandoa na asilimia 50 wanatoka nje ya ndoa.

Wanawake asilimia 99.9 wanatamani kuolewa

Wanawake asilimia 100 wanatamani kutoka kutoka nje ya ndoa na asilimia 98 wanatoka nje ya ndoa.

Hii inamaanisha kuwa ukiwa na mkeo ujue watu wanaendelea na utaratibu the same kwa wanaume pia

Cha umuhimu katika mahusiano usijilikane na mwenzio na usitelekeze,hapo mambo yatakuwa safi kwa kila mmoja kumuamini mwenzake]

Aiseee!...

kuna haka karesearch nimekaona mahali

eti
wanaume wenye ndoa katika katika10 -8 wanatoka/wanatamani wanawake wa nje

wanawake ambao hawajaolewa asilimia 90 wanatamani kuolewa

wanawake walioolewa asilimia 99 wanatamani kutoka kwenye ndoa zao

je kuna kaukweli jamani?

Source please!!

hizi research za magumashi kazi ipo.

wewe umejuaje kama ni magumashi wakati jamaa katoa tu sehemu ya results/ findings? Omba kwanza research methods alizotumia kama sampling, data collection and analysis ndio useme kama ni magumashi au la!

Wewe tuambie research isyokuwa magumashi ikoje?

Kama matokeo ya utafiti huu umekugusa pabaya si ungekaa kimya tu!!!!!!!!!!

kuna haka karesearch nimekaona mahali

eti
wanaume wenye ndoa katika katika10 -8 wanatoka/wanatamani wanawake wa nje

Pamoja na takwimu hizi kuwa za juu sana lakini hili lina ukweli ila sidhani kama ni kwa asilimia 80 .

wanawake ambao hawajaolewa asilimia 90 wanatamani kuolewa
hili linaweza kuwa na ukweli kidogo

wanawake walioolewa asilimia 99 wanatamani kutoka kwenye ndoa zao
hili si la kweli hata kidogo.... wanawake wachache sana hutamani kutoka kwenye ndoa zao licha ya matatizo ambayo baadhi ya ndoa huyapitia... tena wanawake wengi huwa wavumilivu kwenye kujaribu kubaki kwenye ndoa ukiona katoka ujue maji yalifika kwenye kope za macho!

je kuna kaukweli jamani?

hapa ukweli ni kidogo

ako ka research inawezekana au isiwe,sababu ni kwa mama ambaye tayar yuko ndan ya ndoa na kpato hasa hasa kama mwl.inakuwa ngumu kias unles awe na pepo

yani karesearch hako mi ningekuwa ndo msimamizi wako walai ningekupa A i mean100% yani ni kaukweli balaa

Mimi nakubaliana na utafiti huu hasa kwa upande wa Wanaume wenye ndoa

Kabla hatujakuambia ukweli hebu tufanye ka research kupitia kwako:

We umeolewa? Kama ndio
Unatamani kutoka kwenye ndoa yako?
Ushakutana na waume za watu wangapi?

We Hujaolewa? Kama ndio
Ushakutana na waume za watu wangapi?
Unatamani kuolewa?

homie hapo naomba nisiseme kitu tena...

haya haya kazi kwenu wale wanandoa mnaojipanga kwa watu kama mafungu ya nyanya.

Back
Top Bottom