Recent content by Bruno Toto

  1. Bruno Toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu tukumbushane machungu ya timu zetu siku tulipojutia kwenda uwanjani au Vibanda Umiza

    Kila nikikumbuka Jinsi Said Bahanuzi alivyokosa penalty ya Yanga dhidi ya Zamalek naishiwa nguvu mpaka Leo [emoji51][emoji51][emoji51]
  2. Bruno Toto

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Imekuaje kutoka January to December ni siku 365 ila kutoka December to January ni siku 31?
  3. Bruno Toto

    JamiiForums Tanzania Leo nimeokota noti ya shilling 10,000 ikiwa ni mara ya pili ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.Je, hii ni bahati tu?

    Nikiwa na chenji chenji natoa, sijawahi kuwapa noti [emoji16][emoji16][emoji16]
  4. Bruno Toto

    JamiiForums Tanzania Leo nimeokota noti ya shilling 10,000 ikiwa ni mara ya pili ndani ya kipindi cha mwezi mmoja.Je, hii ni bahati tu?

    Nimewahi kuokota elfu ishirini ishirini mara mbili
  5. Bruno Toto

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi kulazimisha darasa la 4&7 kulala bweni

    Watabaki wamiliki na walimu wao, kwanini walazimishe watoto walale shuleni halafu waongeze ada?
  6. Bruno Toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

    Kwani wapi hao EFM wamesema Mkude kamgonga CEO wa Simba?
  7. Bruno Toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shame on Efm radio kwa kudhalilisha CEO wa Simba SC

    Kumbe huyo PISI KALI anezungumzwa huku mtaani ndo huyo Babra? Au hapo kwenye kipindi walimtaja Jina?
  8. Bruno Toto

    JamiiForums Tanzania Moshi, Kilimanjaro: Watu waliojitambulisha kama maafisa wa TRA wavamia Rau Pub Usiku huu

    Sio mchaga, ila pia alikua askari Polisi na alifukuzwa kazi, ameshakaa Sana jela jamaa
  9. Bruno Toto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jonas Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  10. Bruno Toto

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Malecela alijulikana ghafla kama “Jumanne”?

    Sio muislamu, anaitwa William Malecela, unamuita muislamu kisa anapenda kuvaa kanzu? Lile ni vazi tu
  11. Bruno Toto

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Malecela alijulikana ghafla kama “Jumanne”?

    Acha uongo, Le Mutuz ni mkristo muanglikana
  12. Bruno Toto

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Corona ni hiari au lazima?

    Watanzania ndio watu wa wapi?
  13. Bruno Toto

    JamiiForums Tanzania Pombe ya Highlife imechukua nafasi ya kiroba

    Piga na double kick
  14. Bruno Toto

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo kushiriki SUK: Maoni ya Tundu Lissu

    Ye anavyoita MaCCM ana maana gani? Kwani hawezi kusema CCM?
Back
Top Bottom