Pombe ya Highlife imechukua nafasi ya kiroba

Pombe ya Highlife imechukua nafasi ya kiroba

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,442
Reaction score
8,693
Habari wanazengo

Hii kitu hinglife inanipa ujasiri mkubwa uliovuka mipaka pindi inapokaa kwenye kichwa changu

IMG_20201209_164519_9.jpg

Hujikuta niko more powerful an comfortable naweza piga sound manzi yoyote naaakaachia phone number bila kusitasita

Pombe ukiitumia in positive itakupa matokea chanya lakini ukiitumia kinyume inaweza kukupeleka mahala pabaya mnoo

Highlife for life [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kiboko ya hizo pombe kali ndogo zoote ni DOUBLE KICK, ile ni gongo iliyothibitishwa na TBS aisee, kali sana..

Alafu yenyewe ina alcohol 43 % wakati hizo nyingine zote mwisho 40%...
 
Pombe inayofungwa kwenye plastiki ni hatari sana. Sema tu wabongo hawajui
We mzungu wawapi?

Embu tupe evidence,Mamlaka husika zimethibitisha tupige Kama kawa, take away
 
Back
Top Bottom