Mackanackyyy
JF-Expert Member
- Mar 26, 2019
- 2,338
- 5,263
Rau pub mbona pako wazi muda wote shehe, tangu saa 2 asbh watu wanapiga tu supu ya mbuziPUB Mchana hawapo! Kwahiyo kuifanya operesheni Usiku ni sahihi! Hakuna namna
Rau pub mbona pako wazi muda wote shehe, tangu saa 2 asbh watu wanapiga tu supu ya mbuziPUB Mchana hawapo! Kwahiyo kuifanya operesheni Usiku ni sahihi! Hakuna namna
Ila baa nying hazitoi risiti na EFD wanazo sijajua utaratibu upoje na kodi zao wanalipaje sijawah enda baa nipewe risiti...
Kuna siku nilikua na jamaa angu wa TRA mpenda sifa hv akawakazia wampe risiti ikaonekana hawajatoa risiti kama mwezi hv kwny kile kimashine....
Sema nilimkanya jamaa aache udwanzi wa kudai risiti off duty atakuja pigwa afe
Kweli JF kuna mambo!Habari wanajukwaa,
TRA moshi wamevamia club maarufu ijulikanayo kama Rau pub usiku na kuifunga wakidai club hiyo inadaiwa hivyo wanatakiwa kufunga na kulipa kwanza, hali iliyopelekea tafrani ,maana wateja bado walikuwa wamejaa sana!
Umetokea mvutano mkubwa kati ya meneja wa pub hiyo na TRA akidai inakuwaje waje usiku? Wakamjibu wameagizwa na boss Mkoa
More updates and pictures to come!
Makalio yako, nasikitika kwa sababu watu wamekosa uzalendo hawalipi kodiMaajabu
Wewe dada si ndio mlamba matako ya huu utawala,leo unasema "inasikitisha"?
Nimekushangaa sana aiseee
DUh
Sio mchaga, ila pia alikua askari Polisi na alifukuzwa kazi, ameshakaa Sana jela jamaaBasi ni Mchagga halisi huyu....Mchagga bila wizi na utapeli, achekwe?
Pimbi mkubwa karumagende ngedere mla mavi mnywa wanzuki na komoni lijinga kabisa u bwa mkubw na ms n ge mk d uwakoMatako kila mtu anayo....wewe mwenyewe unayo,tena yamejaa mavi
Watu hawalipi kodi kuna technical reason
Na sababu jiulizeni nyie wenye madaraka
Hahahahaaa
Jokes on you motherfvckers!
Lazima mlipe kodi.Hahahahaaaa
Ndio mawe kawatuma mtukane kwa matusi haya watu hata msiowajua kwenye internet???
Una ugonjwa wa akili wewe,sio bure!
Unaowatawala hawalipi kodi,kufunga biashara hakukusaidii ""kupata ma-trioni ya kujenga SGR kwa heraaa zetu za ndani""...
Sababu kwanini hawalipi ni kazi yako kugundua na kufanyia kazi
Ng'ombe wako hatoi maziwa eti unaenda kukata titi la ng'ombe husika eti maziwa yatoke!
Vichaa nyie
Na matusi yote uliyotoa viunge vyote unavyo kwenye mwili wako, janamke bovu kote kote!
Umeongea kweli mkuu,yupo jamaa yangu Kariakoo yeye alikuwa na kaduka kadogo dogo tu akakadiriwa kwa mwaka alipe 1.6mill na efd akanunua kwa ajili ya bidhaa zake za dukani ila mzigo mkubwa aliokuwa anauuza pale ni wa nje ya duka lake,yani alikuwa kama winga anatumiwa hela nyingi na wateja wake mikoani huko anafunga mizigo kwa Wachina anabaki na faida yake mfukoni.Hii inapeleka chilling effect to all small business owners,aidha kama hawatafunga kujiokoa,watapunguza kabisa uuzaji
Watapunguza wafanyakazi,watapunguza operations,wataanza kuficha mauzo na records zote kwa fasta zaidi,wata draw hela zao zote benki ili TRA isizione wataficha majumbani mwao
Mikopo ya benki itashindwa kulipika
Huwezi shindana na mfanyabiashara mwenye hofu...huwezi
Wengine watakimbia na nchi kabisa waende Kenya wakae hata miezi 3 warudi
Hii inapeleka alot of disruption isiyokua na maana
Inatakiwa mfanyabiashara uhakikishe haingiwi hofu kabisaa,ukusanye hata shilingi kuliko hivi
Ukimvamia ukachukua mauzo yote maana ni kwamba umefanya effectively kufunga hiyo biashara na kutuma ujumbe kwa wengine wakimbie au waharibu records kabisa mapema
Hizi ni biashara ndogo ndogo zenye wasiwasi kama mabaa...mabaa ni biashara volatile na ndogo sana...
Wakubwa zaidi kidogo,ndio umetuma ujumbe wafunge kwanza wakimbie warudi mwezi wa tisa huko
Hela zote zitafichwa kutoka kwenye mfumo...
Naona ujinga mwingi unafanyika kwa haya mambo ya kipumbavu hivi
Moshi kama KARUFONYIAAAAAAH
Hahah mkuu ume-panic em kunywa glass ya maji kwanza urudi normal.Pimbi mkubwa karumagende ngedere mla mavi mnywa wanzuki na komoni lijinga kabisa u bwa mkubw na ms n ge mk d uwako
Yani nimeenda zangu Bar kunywa Hafu Niko Gambe...Ila baa nying hazitoi risiti na EFD wanazo sijajua utaratibu upoje na kodi zao wanalipaje sijawah enda baa nipewe risiti...
Kuna siku nilikua na jamaa angu wa TRA mpenda sifa hv akawakazia wampe risiti ikaonekana hawajatoa risiti kama mwezi hv kwny kile kimashine....
Sema nilimkanya jamaa aache udwanzi wa kudai risiti off duty atakuja pigwa afe
Yeye ndiye aliharibu, unajua kuna watu wanakeraHahah mkuu ume-panic em kunywa glass ya maji kwanza urudi normal.
Nadhani jamaa alikutania tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Meneja utampata kirahisi namna hiyo. Happ ukute aliteleza na bodaboda fasta akawaachia msala jamaa wa KauntaSizani kama kutakuwa na utaratibu wa kuwalipa fidia wateja ambao walikuwepo hapo.
Hivi kama hapo akichukuliwa meneja au kiongozi yoyote ili akahojiwe peke yake bila kuathiri shughuli nyingine tatizo litakuwa wap?
TRA vamia hao maana mwisho wa siku mlipakodi ni mnunuzi wa mwisho sasa shida iko wapi,toeni risitiTatizo hizi mashine eti wanawauzia tena wafanyabiashara, tena bei kubwa zaidi ya laki 6. Wangewapa free hizo mashine au at a very low price ili wahamasike kuzitumia.
Yah possible lakini kuna njia nyingine zaidi za kusolve hili tatizo bila kutngeneza taharuki kwenye jamii na kufanya watu wasijione wako huruMeneja utampata kirahisi namna hiyo. Happ ukute aliteleza na bodaboda fasta akawaachia msala jamaa wa Kaunta
Aliyekuambia kuwa halipi kodi ni nani? Kuwa na mgogoro na TRA haimaanishi kuwa kodi hailipwi.Makalio yako, nasikitika kwa sababu watu wamekosa uzalendo hawalipi kodi
Kwahiyo Mpango ajulishwe kuwa agizo lake limedharaulika? Na kwa kwakutofuata maelekezo ya waziri mwenye dhamana nani anapaswa kuwajibika? Tushaona maagizo mengi ya mawaziri kutofuatwa na maafisa wa chini yao na hakuna hatua. Nini kifanyike kurekebisha hali hii?Vipi kuhusu agizo la Waziri Mpango juu ya kufunga biashara za watu?
Alipiga marufuku TRA kufunga biashara za wafanyabiashara kwa kushindwa kulipa kodi badala yake watumie njia ya kukaa nao na kujadiliana namna ya kulipa kodi hizo na kwamba uamuzi wa kufunga biashara uwe wa mwisho baada ya njia zote kushindikana na mwenye mamlaka ya mwisho ya kufanya hivyo ni Kamishna Mkuu wa TRA.
“Ukifunga biashara ya mtu leo kwa madai ya kodi ambazo anadaiwa za huko nyuma maana yake unapoteza kodi nyingi ambazo ungezipata kama biashara ingeendelea. Kufunga Biashara yawe ni maamuzi ya mwisho kabisa pale inapotokea hakuna mbadala kabisa wa kupata ufumbuzi na nilikwishatoa maelekezo siku za nyuma kuwa uamuzi huo utolewe na Kamishna Mkuu wa TRA in person. Hata matumizi ya Agency Notice busara itumike kumlazimisha mlipa kodi alipe deni - Kimsingi iwe ni njia ya mwisho (last resort) baada ya majadiliano kushindikana kabisa.” Aliongeza Dkt. Mpango