Recent content by bruda

  1. bruda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi

    What are you waiting for?
  2. bruda

    JamiiForums Tanzania Kubeti Kulivyoharibu Maisha yangu/ how betting has ruined my life

    Pole lazima ulikuwa unaweka matreni
  3. bruda

    JamiiForums Tanzania Ni vipimo vipi hutizamwa katika Usahili wa JKT

    Unyayo lazima...flat feet haitakiwi
  4. bruda

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane kuhusu ajira za walimu 2016

    Akili chache kweli Jacobian, nchi haiendeshwi kwa akili hizo
  5. bruda

    JamiiForums Tanzania Naombeni kumfahamu dada anayezunguka na Magufuli kama msaidizi

    Ni mlinzi!
  6. bruda

    JamiiForums Tanzania Silinde uko wapi?

    Taarifa zako hazina ukweli na usiishi kwa speculation! Ulitaka aje akuage nyumbn kwako kwamba anafanya vikao vijijin?
  7. bruda

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    hahahahahaha
  8. bruda

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    daaaah! CCM polen sana
  9. bruda

    JamiiForums Tanzania Chama cha Kilaghai Tanzania...

    sijaona mantiki yako hapo sasa sijui unataka kuuaminisha nini umma wa kitanzania? sio kila mtu ANAKUA EASLY TAKEN na ujimga wako na usifanye kua watu wanachama wa CDM hawjitambui ila maskini walio CCM kimsingi ndio wenye akili....uko wrong!
  10. bruda

    JamiiForums Tanzania Nape anazomewa muda huu Kata ya Kimandolu Arusha

    Wanaelewa sana siku hizi mambo ya kudanganyana lazima aibu ya kuzomewa ipatikane....
  11. bruda

    JamiiForums Tanzania IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

    Kwanin madai ya watu hayasikilizwi? Na kwanin kila panapokua na madai ya wananchi inageuzwa kua uchochezi na watetez kuwekwa ndan? Kamuhanda kama unasali hutaionja pepo
  12. bruda

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    Mwigulu nchemba kama unasali kanisani au unaswali msikitin nakwambia dhambi mnazotenda kwa watanzania hakika mungu anajua adhabu yenu... ENDELEENI!
  13. bruda

    JamiiForums Tanzania kwa mara ya kwanza Hoja za kambi ya upinzani bungeni zasifiwa na serikali leo!!!!

    Ipo siku wana ccm wataikumbuka CDM
  14. bruda

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    Inakuaje wale waliotumwa na jamhuri kwenda kutuliza ghasia zilizosababishwa na udini wao ndio wamegeuka waporaji wa mali za raia mpakani tunduma? central government inafanya nin mpaka kunatokea eruption ya haya mambo tena? wananchi waelewe nini hapo? Wanatumia nguvu nyingi wananchi wamekimbia...
  15. bruda

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    Tuachieni boda yetu.....Hatuna histolia ya udini udini kule na ndugu saidea kama wilaya imekushinda nenda kwenu kalime na uchunge mifugo..
Back
Top Bottom