Recent content by brownuli

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada pls!

    Nataka kununua computer ndogo yaani netbook ipi ni bora na pia naomba specifications. Natanguliza shukrani.
  2. B

    JamiiForums Tanzania R.I.P Troy Davis

    kama kawaida yako mzee wa kubwabwaja! hata wazungu pia nao wananyongwa bila hatia sema watu shallow kama wewe hamjui basi mnakimbilia kubwabwaja tu ooh watu weusi tunaonewa, sheria iliwekwa na imefuatwa suala la yeye kutokuua au la ni suala lingine, cha kujifunza hapo ni ubaya wa sheria...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wahalifu toka Nigeria wabebwa kuendesha benki Tanzania

    Kwa mwendo huu sidhani kama Tanzania tutafika tunakokwenda sababu uzushi kama huu ni balaa... na nakuonya usipende kukurupuka mambo usiyoyajua vizuri. Hivi hao waliokutuma wamekupa sh ngapi??? Duh nimekoma na Watanzania! Na kama hii ndio ni great thinking basi balaaa.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mlimani city "kama nawatch movie"!

    e bwana umenena! Mie napaona kama godown la mbolea!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatujui kiswahili wala kiingereza

    Ama hakika hapo umeongea ukweli mtupu. Mfano vituo vya redio ndio balaa..watangazaji wanaropoka tu .. yaani kwa kweli inakera sana! Kizazi cha sasa sijui tukiiteje maana kiswahili sifuri na kiingereza sifuri!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je hii ni sahihi? Naomba msaada!

    Kwa muda mrefu tangu nakua nimekuwa niksikia watu wengi wanapozungumza kiswahili hupenda kuweka neno "ga" mwisho wa neno..mfano Alikwenda wao husema "Alikwendaga" sasa hapo nimekuwa nikijiuliza je ni kiswahili sahihi au la? na swali langu lingine ni hili.. hivi nikifika dukani na ninapotaka...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Hii Ya Marando Imekaaje?

    Si kila mwenye pesa ni fisadi! Jamani tusipende kukurupuka...loh!
Back
Top Bottom