Msaada pls! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada pls!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by brownuli, Jan 18, 2012.

 1. b

  brownuli Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nataka kununua computer ndogo yaani netbook ipi ni bora na pia naomba specifications.
  Natanguliza shukrani.
   
 2. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
 3. Wang'wise

  Wang'wise JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  HP, Dell and Samsung ni brand nzuri sana, aina inategemea na personal interest zako. Specs Hdd 200Gb+,Ram 2GB+,Processor Duocore +
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  kwanza ukisema netbook una maana gani? Sometime netbook kwa tafsiri ya watu tofauti ina maana tofauti wengine wanasema netbook wakiwa na maana hata ya laptop. Lakini wengine netbook ni laptop yenye screen size isiyozidi 12" (12 inch). Kama unamaanisha netbook ukiwa na man ya screen size isizidi 12" endelea kusoma mchakato huu otherwise upotezee.............

  uchaguzi wa netbook gani itakufaaa utategemea mambo kadhaa . Nitataja mawili.......

  I. Bajeti
  Kiasi gani cha pesa umetenga kwa ajili ya kununua netbook? Kama pesa si kikwazo kwako kuna netbook za $ 700 kama HP Mini 5103 na $409.99 kama ASus EEE PC 1215N lakini kama ni mtoto wa mkulima unaweza kugoogle kupata hata za $ 200 kushuka chini. Bajeti pia inaweza kukufanya ununue used( Ebay, Amazon)kwa bei nafuu but yenye nguvu zaidi au brand new lakini isiyo powerfull

  II. Matumizi
  Utaitumia kufanya shughuli gani?
  Angalia kwenye kiunganisho hiki na kingne hiki kwa uchambuzi zaidi nilioupta kupitia google. Vile vile soma muongzo uliotolewa na BBC ambao unaweza kukup picha kamili ina ya netbook unayotakiwa kutafuta. Unaweza kusoma pia Nahitaji kununua laptop ni ipi bora? niliowai kubandika katika ka-gym kangu ka mazoezi. kuna stikcy thread nyingine hapo juu inaweza kukup mwogozo.
   
Loading...