Recent content by Brownbeezy

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msichana wangu anataka kuja Nyumbani kunitolea Mahari

    Ahaaaaa umetisha masikio hapa aisee
  2. B

    JamiiForums Tanzania VPN gani nzuri niweze tumia net bure

    Sijajua nianzie wapi hapo
  3. B

    JamiiForums Tanzania VPN gani nzuri niweze tumia net bure

    Vp so kwa Airtel haitumiki make sijaona ka umeimention afu ndo natumia kaka
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Ukweli wapo wanaumme wa wanaokubari,mfano mzuri ni familia yetu nishakua mtu mzima ndo najua dada yetu wa kwanza so mtoto wa baba yetu.Sijui najua peke yangu au pia ndugu zangu lakin hamna aliye sha fungua dogo nakumuliza mwenzake so ipo hiyo
  5. B

    JamiiForums Tanzania VPN gani nzuri niweze tumia net bure

    VPN ili kutumia net bure
  6. B

    JamiiForums Tanzania VPN gani nzuri niweze tumia net bure

    Internet bure naomba kuelimishwa hapo
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mtihani mgumu..

    Ushaonywa boya wew mbona wakwanza hadi kamzalisha
  8. B

    JamiiForums Tanzania Siku walipokwenda kwa mara ya kwanza gesti

    Asante kwa story napenda sana
  9. B

    JamiiForums Tanzania Yatosha sasa

    Kunakitu kinaitwa window period kak so subiri mwezi upite ukapime tena yawezekana unao lakin antibody azijaa amka
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mapenzini na askari polisi au wajeda wanawake

    Ahaaaaa kweli inakuaga ngumu aise
  11. B

    JamiiForums Tanzania First lover

    Jamani mimi sio mkubwa sana kwa hiyo story so ya zamani ni kipindi niko darasa la saba,iko hivi. Nakumbuka nilikuwa na marafiki kama wanne hivi ila mimi kiumbo ndo nilikuwa mrefu kidogo kulinganisha na wenzangu ambao niliwazidi kama mwaka mmoja hivi Sasa sijui ilikuaje hadi nikamtuma rafiki...
  12. B

    JamiiForums Tanzania New comer

    First post in Jamiiforums hope I am not that rate to understand how the world goes. I need your cooperation, thank you.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hakika pesa ina-run dunia.

    Ahaaaa story tamu aisee
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nahisi nimebaki mwenyewe sasa msaada

    Pole kijana mhmm dunia hii ni wachache wa kukukatalia pole aise
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wangu wananizuia nisioe eti kisa bado nasoma

    Alkelokas Kama hawezi kusubiri basi hakufai,wa kwanza aliondoka sababu mungu akupenda muwe wote.Mwaka mmoja mdogo sana kaka akikusubiri umalize huyo ndo chaguo lako
Back
Top Bottom