Ndo hapo sasa yan mtu anafanya kunikomoa sa atatafuta wakuweza hayo mashart me simoUboya huo kuekwa pending wakati wenzio wanajipigia na washatotolesha temana nae huyo kwanini hakusubiri ndoa tangu zamani shenzake!!!!
Miaka 24 unataka kuoa mtu keshazaa afu ana masharti kibao ? Hayo masharti anatoa mtu ambaye ni bikra hata kama ni ya kichina.afu inaonyesha kuwa wewe ndo kwanza unaanza mahusiano ndo maana unababaika jitambue

Fanya maamuzi magumu
Acha uboya wewe!!piga chini nyuchi ambazo hazijazaa na warembo za kumwaga tu,yaani jitu limetotoleshwa alafu linakuletea masharti kibaaaaooo!!kwambaa yeye ni bikra!?
Duuh, kumbe jamii yetu ni ya watu wanafiki kiasi hiki. Eti mdada mwenye mtoto! Tatizo lipo wapi? Kila siku tunaona nyumba za ibada zinajaa, watu wameenda kuwatembelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, kumbe unafiki. Kama umempenda oa, huyo mtoto ni binadamu anastahili kuthaminiwa na sio kunyanyaswa.Miaka 24 kuoa mdada mwenye mtoto.mhh bado sana endelea kutafuta

Nmeamua nijitoe tu ila nahtaj hekima kumueleza aelewe na asibaki na kinyongo na mimi
Duuh, kumbe jamii yetu ni ya watu wanafiki kiasi hiki. Eti mdada mwenye mtoto! Tatizo lipo wapi? Kila siku tunaona nyumba za ibada zinajaa, watu wameenda kuwatembelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, kumbe unafiki. Kama umempenda oa, huyo mtoto ni binadamu anastahili kuthaminiwa na sio kunyanyaswa.

Hamna! Ni shenzake huyu. Eti akishtuka anaomba nimuache.
Nyau kweli.
Kuna ME lege lege kweli!