Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,458
- 8,961
mi mzima wa afya
haya poa
mi mzima wa afya
Alishakuja na story ooh yupo chuo dem anaomba sana hela mara smartphone, akaja tena kivingine kuwa kaacha kuhonga kapata maendeleo ana laptop na sub woofer hataki tena dem ha ha ha kumbe hana lolote eti chuo labda juma training college
Hahahahahah ushauri mbaya sana huu! Ila ni mzuri kwa upande mwingineKwa umri huo unatakiwa uwe unavuta bangi sio kuwaza mademu muda ukipita utayarudia ukubwani
Na kweli !!!😀wale wazee wanaovuta bangi ujanani hawakuvuta
Sijui kwanini huwa ni mpaka koo akimbizwe sana:what:wakazie wewe hao wanyama wetu ndo walivyo chukua mfano ushawahi muona Jogoo anavyomkimbiza koo........huku na kule ila siku ya siku anamkuta amechutama mbele anasubiria dushelele !!usitongoze kama unafanya application ya fedha kwa mzazi wakazie
Thank you for the offer, mtu umemaliza Form iv, probably kazi pia huna unless unauza sembe hahahhapesa mbona zipo hata ww ka ukotayari karibu
mbona mpunga umejaa mamy ili ufanye moja ili upate zila uko ready
Well, sinaga mchezo na vikojozi.......lol