Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
- Thread starter
- #41
hapa hapa MMU, nimtafute huyo mtu?
yeah.....!
hapa hapa MMU, nimtafute huyo mtu?
baridi itakwisha tu kwa matumizi ya vitu vingine, I promise.
thanks ila inahitaji ujasiri.
umesifiwa just take the compliments, hayo mengine unataka kuharibu.
Tunajua inataka ujasiri
Nipo Mie Wakukupenda Na Kukupa Faraja Ili Nawe Ujisikie Mtu Katika Watu
kuuziwa kwenye gunia haitotokea, nishajibu swali kama lako hapo juu.
sawa kaka, niko hapa bukoba mjini, kuna visu balaa...
tulio na wapenzi tumefungwa
hongera sana kwa maamuzi magumu, kilichobaki sasa vitendo.
Umemaliza mwaka vizuri BIG UP
I will tel u...
may b kama kuna matazamio ya mbeleni.
haya bana, nilidhani tungeenda wote..