Recent content by Brothers Karamazov

  1. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

    Kwenye suala hili la Bandari, kumeibuka mivutano ya kidini mikubwa baina Waislam v Waikristo, Wakatoliki v Walutheri n.k hasa kwa 'raia wa mitandaoni' (Netzen). Mivutano hii ya kishabiki wa Kiimani imenipa jibu moja tu, HATUIJUI DUNIA. Ustaarabu wa imani unaongozwa na kanuni hii: IJUE DUNIA...
  2. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Twitter (X) kuhusu maoni ya watu juu ya Waraka wa TEC ni upuuzi mtupu

    Dah, kweli uhuru hauna adabu. Yaani Mwijaku ni wa kumuambia Mwalimu na Daktari wa Sheria za Katiba(ambapo siasa na utawala hubobewa hapo) kuwa hajui siasa?
  3. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania Bakhresa, Mo Dewji na GSM Wekezeni kwenye Elimu haswa kwenye Dini zenu

    Mtoa mada Unapojinasibu kuwa unaelimu, halafu mambo ya msingi huyajui, inashangaza. Kazi ya kujenga shule sio ya Mo au GSM, hiyo ni kazi ya serikali. Umetafiti wapi ukaona kuwa waislam wana shida ya shule?
  4. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania Zipi nyimbo zako pendwa(zisizo za kidini) za kumuabudu Mungu? Shusha na 'lyrics' zake kidogo

    Ziwe bongo flava, ziwe rnb, ziwe funk, ziwe rap, iwe rhumba, ziwe soul muhimu tu isiwe gospel au Kaswida. 1. Asante ya Sugu na Sele, kutoka kwenye album yake ya Muziki na Maisha. 'Chorus' yake aliifanya Mr Paul(hivi yuko wapi huyu mkali wa zouk?). 'lyrics'; Maisha yangu namshukuru...
  5. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania Waandishi washambuliwa Ngorongoro huku Mbunge akihusishwa katika tukio hilo

    Mchange yuko Jamvi la Habari. Ni Mjasiliahabari.
  6. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania Luna-25 ya Urusi iliyokuwa ikielekea Mwezini imeanguka

    Sasa ukitaka alichokifanya Mrusi ukraine, Kiwe copy cat kwa US ndio ukubaliane kuwa mabeberu ni watu dhalimu, basi una muono finyu. Unajua pia kwenye biashara za kimataifa, unapozungumzi ardhi ni dhana pana ikijumuisha vilivyomo juu na ndani yake? Kwani US alipotaka ivamia Cuba 1963 inatofauti...
  7. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCL: Asas Djibouti FC 0-2 Young Africans SC | Azam Complex | 20/08/2023

    Nausikiliza kwenye Radio, Yanga Posession nadhani tuna 60%.
  8. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania Luna-25 ya Urusi iliyokuwa ikielekea Mwezini imeanguka

    Una maanisha nini unaposema Urusi hana ukubwa?
  9. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania Luna-25 ya Urusi iliyokuwa ikielekea Mwezini imeanguka

    Una jiumiza nafsi bure tu. Ndio dunia inaenda hivyo. Wakubwa wanavamia wadogo, wanawatawala, wanachukua rasimali na kugeuza masoko na maabara za majaribio ya teknolojia zao. Hizi laana zingekua zinafanya kazi, basi Marekani isingekua imeendelea kwa sayansi na teknolojia leo.
  10. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

    Ukiona mtu hajadili hoja akaanza kumzodoa mtoa hoja, akaanza tafuta makandokando ya hoja, basi jua hoja hiyo ina mashiko na mjibu hoja ameshindwa. Mtu anaanza tafuta vyuo vilivyopo malaysia, maana yake hoja kuu imemshinda kujibu. Mtu akianza tafuta dini ya mleta hoja, basi hoja kuu imemshinda...
  11. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi V2 aliyeimba Nasonga mbele?

    Hahaha. Nimeelewa swali lako. Hivi Mid 2000 ni 2500, right?
  12. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania Sijui ni kwanini nikiufikiria tu huu Uhusiano wa Kiushirikiano ufuatao naogopa sana

    Kukikubali = Admission of Guilty.
  13. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania Sijui ni kwanini nikiufikiria tu huu Uhusiano wa Kiushirikiano ufuatao naogopa sana

    Nitasikitishwa sana kama BAKWATA watacounter tamko la TEC. Tutaingiza jamii kwenye mtanziko wa ajabu sana. Rais Samia, serikali yako na chama changu CCM kina watu makini kabisa wa kuweza kukuvusha hapa ulipo kwama.
Back
Top Bottom