Luna-25 ya Urusi iliyokuwa ikielekea Mwezini imeanguka

dogman360

Member
Oct 15, 2018
9
18
Luna-25 ni jaribio la Urusi kutua kwenye mwezi lililoshindwa. Jaribio hilo la kutua lililenga eneo la south pole mnamo Agosti 20. Hata hivyo, kutokana na sababu za kiufundi, kutua kwa chombo hicho kulikwama na kusababisha kushindwa kwa lengo hilo. Hii ilikuwa ni hatua muhimu katika juhudi za Urusi katika uchunguzi wa anga za juu.

----

Russia's unmanned Luna-25 spacecraft has crashed into the Moon after spinning out of control, officials say.

It was Russia's first Moon mission in almost 50 years.

The craft was due to be the first ever to land on the Moon's south pole, but failed after encountering problems as it moved into its pre-landing orbit.

It was set to explore a part of the Moon which scientists think could hold frozen water and precious elements.

Roscosmos, Russia's state space corporation, said on Sunday morning that it had lost contact with the Luna-25 shortly after 14:57pm (11:57 GMT) on Saturday.

Preliminary findings showed that the 800kg lander had "ceased to exist as a result of a collision with the surface of the Moon", it said in a statement.

It said a special commission would look into why the mission failed.

The loss of Luna-25 is a blow to Roscosmos. Russia's civilian space programme has been in decline for several years, as state funding is increasingly directed towards the military.

Russia was racing to the Moon's south pole against India, whose Chandrayaan-3 spacecraft is scheduled to land on there next week.

Once Chandrayaan-3 lands, it will take a few hours for the dust to settle before the six-wheeled rover crawls out and roams around the rocks and craters on the Moon's surface, gathering crucial data and images to be sent back to Earth for analysis.

The surface area of the Moon's south pole that remains permanently in shadow is much larger than on the Moon's north pole, which makes finding water there more likely.

Roscosmos had acknowledged that the Luna-25 mission was risky and could fail. The craft launched from Vostochny Cosmodrome in the far eastern Amur region of Russia on 11 August, and then successfully entered the moon's orbit on Wednesday of this week.

It was expected to make history by making a soft landing on Monday or Tuesday, just days before the Indian touchdown.

No country has ever landed on the Moon's south pole before, although both the US and China have landed softly on the Moon's surface.

Luna-25 was Russia's first Moon mission since 1976, when it was part of the Soviet Union. That mission, Luna-24, landed successfully.

Source: Russia's Luna-25 spacecraft crashes into Moon
 
Luna-25 ni jaribio la Urusi kutua kwenye mwezi lililoshindwa. Jaribio hilo la kutua lililenga eneo la south pole mnamo Agosti 20. Hata hivyo, kutokana na sababu za kiufundi, kutua kwa chombo hicho kulikwama na kusababisha kushindwa kwa lengo hilo. Hii ilikuwa ni hatua muhimu katika juhudi za Urusi katika uchunguzi wa anga za juu.
Kama imeanguka rubo sio ajabu luna-25 nayo kuanguka.
 
Watapoteza kote pambavu zao, waliingia kudhulumu kataifa jirani hapo kwa ubabe wao, yaani kuna kipindi nilikua nafurahi sana kuona wanafikisha vyombo huko nje, ila sasa hivi natamani vianguke vyote...
 
That is science trials and errors. Watapatia tu next time.

Ila niliwashangaa niliposikia wametuma Chombo Kwa kihelehele kumuwahi India alitangangulia kutuma japo bado hakijafika wao wametuma baadae wakachoma wese Kwa speed na kufika na wameshindwa kutua salama. Haraka haraka Haina baraka.

West wanajipa credit eti ni vikwazo ndio sababu.
 
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Na kila wanachotuma kitaangukia pua, wanataka kujiaminisha kwamba it's business as usual, upo kwenye vita na huku unataka kuonyesha usupapawa wa kuruka kwenye sayari za nje, huo ubabe hawana kwa sasa.....
 
Watapoteza kote pambavu zao, waliingia kudhulumu kataifa jirani hapo kwa ubabe wao, yaani kuna kipindi nilikua nafurahi sana kuona wanafikisha vyombo huko nje, ila sasa hivi natamani vianguke vyote...
Una jiumiza nafsi bure tu. Ndio dunia inaenda hivyo. Wakubwa wanavamia wadogo, wanawatawala, wanachukua rasimali na kugeuza masoko na maabara za majaribio ya teknolojia zao.

Hizi laana zingekua zinafanya kazi, basi Marekani isingekua imeendelea kwa sayansi na teknolojia leo.
 
Tatizo Urusi kajitia ukubwa ambao hana. Ameishia aibu.
 
Lini Marekani amepora ardhi ya mtu bila makubaliano?
Sasa ukitaka alichokifanya Mrusi ukraine, Kiwe copy cat kwa US ndio ukubaliane kuwa mabeberu ni watu dhalimu, basi una muono finyu. Unajua pia kwenye biashara za kimataifa, unapozungumzi ardhi ni dhana pana ikijumuisha vilivyomo juu na ndani yake?

Kwani US alipotaka ivamia Cuba 1963 inatofauti gani na Mrusi sasa? Alipoipindua serikali ya Guetemala ili kampuni yake iendelee kuhodhi ardhi walikubaliana na wananchi wa huko? Alikubaliana na wakongo walipomuua Lumumba ili maslahi yake yawe salama? Marekani amevamia Iraq, kaweka serikali yake na kuendelea kuiba mafuta kwako huo sio uporaji wa ardhini.

Nina wasiwasi wewe nikukuambia kuwa ukoloni bado africa hutonielewa.
 
Na kila wanachotuma kitaangukia pua, wanataka kujiaminisha kwamba it's business as usual, upo kwenye vita na huku unataka kuonyesha usupapawa wa kuruka kwenye sayari za nje, huo ubabe hawana kwa sasa.....
Umeona eeh?! Alichokuwa anajaribu kutuonyesha urusi ni kwamba vita haijamuhathiri,kwa hiyo anaweza kuendelea kufanya mambo mengine pia..,kinyume chake kumbuka!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom