Kwa mtizamo wangu, thamani ya mwanamke haipo kwenye bikra ndo sababu inatoka hata kwa mazingira fulani tu. Thamani ya kweli ipo kwenye uwekezaji wa kimalezi, waliofanya wazazi/walezi.
Sawa labda unahitaji bikra vipi ukishaitoa itaendelea kumfanya awe na heshima, upendo, utulivu wa akili, mwenye...