Ukimpenda mwanamke usilianzishe hapo hapo subira ni muhimu sana peaneni walau miaka minne au mitano ya kufahamiana zaidi, alipata mwingine basi HAIKUA riziki, ili jambo lisha kuwa sugu just imagine ndoa ina kaa miezi mitatu inavunjika kwelii, inasikitisha Sanaa, peaneni muda hata miaka mitano...
Coc Niko serious na wewe ila mapenzi YANGU na wewe kama yatakuwepo basi itabidi tupeane walau miaka minne mbele ndo yaanze sio sasa ni uwongo ukisema umuingize mtu moyoni haraka hivi sikweli, miaka minne tosha kabisa kwa uaminifu, kuaminiana coc mi Niko tayari kukusubiri, mapenzi ya kweli Huwa...
Umenifananisha mi ni MGENI humu, naitwa bro alex SIJAWAHI sajili I'd tofauti na hii, and this is my really name ALEX au NMEKOSEA njia sio Mimi ulie ni target mkuu
Fullstop, kwishaaaaa
Hahahahaaaaaaaa coca mi Haina hata haja ya kuniroga nikisha penda, kwishaaaaa habari YANGU labda uzingue weweeeee, mana mi ni msukuma sa tunalindwa na mizimu nikirogwa mizimu yetu inachukia beibii we nipe UPENDO TU ni limbwata tosha
Fullstop kwishaaaaaaa
Utafiti upi? kwamba we ni me au mke wa jamaa? nisikilize Nina more alternative na Nisha jipanga kwa lolote mfano mbona Kuna surgery za kubadili vifanyio inabadili unawekewa nyapu na titi unawekew
Utafiti upi Yani kama we ni me au ni mke wa huyo JAMAAA? Kama ni me na umerizia kua ke si unafanya...
Nikufiche nini sasa, am in looove with uuuuu , unakumbuka walisema we ni me si ke, sasa Tena naona Kuna watu wanalalmika we ni shemeji yao sa nachanganyiiiikiiiwa, nmu sikilize nani sasa? Wao walisema nataka kula me mwenzangu wakimanisha we ni shoga Tena saivi naambiwa nataka kula shemeji yao au...
Sasa coc unafikiri nifanyeje, ili hali we hutak tuonane? au unatafutwa na usalama wa taifa? Niwewe tu ukitaka ata saivi you tell me tupeane location romance love ianze, sinaga show ndogo kwenye couple, utasahau hata hii jf am really sio muongo ndo MANA hata hili jina Alex ndo langu linatambulika...
Nisikilize coc nisikilize kwa umakini mi SIJAWAHI OWA, na sikia na mpango huo hivo we sikupangi love is really, nmetoa miaka minne anae kutaka akuowe ikiisha Sito kua na break baby you know how twin birds fly the heaven during day, I think I will be me and you and it will look awesome, love baby...
coc Huwa nahisi Kuna mtu hum unae kimahusiano ndo mana Kuna muda naamua kukupotezea, Kuna wengine hatunaga moyo wa uvumilivu coc, niambie nafac yang kwako, chapchap basi USIJE nifuma NAPIGA sound mtu hum coc pliz🙏♥️♥️🥀
Fullstop, kwishaaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.