Recent content by British economist

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa chuo cha Sokoine,Francis Ndunguru atumbuliwa baada ya kufisidi Mil 4!

    Katika hali ya kushangaza, Bwana francis ndunguru aliyekuwa raisi wa chuo, ameingia katika kashfs kubwa ya ufisadi wa zaidi ya shilingi 4.7million alioomba kutoka management kwa ajili ya kufanya uchaguzi mpya wa viongozi...kwa maelezo zaidi soma barua hizi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Nov 17, 2015: Job Ndugai achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la JMT

    Ndugu zangu hebu tusaidiane ..ni kweli rais wetu amedhamiria kuondoa ufisadi na mafisadi?? Kwann Chenge anapewa mamlaka hiyo licha ya kuwa na kashfa mbalimbali... Karibuni tujadili
  3. B

    JamiiForums Tanzania GEITA:CHADEMA wazindulia kampeni za ubunge kijjini leo

    Ccm si wanabeba raia kutoka vijiji vingine..
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kabati la aluminium used linahitajika.

    Lipo.lakini lipo DSM.Tuwasiliane 0798 459082 kama unalihitaji
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

    Lowasa hawezi kuwa mwenyekiti wa chadema?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete apigiwa Simu ya Dharura arejee Ofisini

    UKAWA mambo vp??
  7. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA kumpata mgombea Urais Jumamosi

    Ebu iyo october 25 ipite watu wafanye kazi za maendeleo...maana duuu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Askofu Gwajima liondolewe haraka viwanja vya Serikali Kawe

    Kama ndo hivyo mbona mmepewa majengo ya serikali ya morogoro Muslim university mbona kafiri mkapa aliwapa??
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mkulima anayejiamini biashara hii hapa

    changamkieni ilo dili
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mkulima anayejiamini biashara hii hapa

    GOOD MONEY WITH LADY'S FINGER/OKRA OR BAMIA(ABELMOSCHUS ESCULENTUS) Bamia is one of the popular vegetable in Tanzania. It is cultivated extensively all the year round for its immature fruits. Bamia fruits are used as a vegetable. The stem of the plant is used for the extraction of the fiber.The...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Tanga kufufuka upya: Azam University of Business and Industrial Mgnt yaja

    Islamic economics ndo course gani mkuuu.....why not christian economics??
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya Kikwete atembelea mashamba ya mananasi Ghana

    apa kazi tunayo uyu proffesor ni noma
  13. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Halima Mdee ktk Viwanja vya Furahisha, Mwanza - Oktoba 18, 2014

    Chadema na wananchi wao wapi ao wananchi? Ccm haina wananch wa tanzania? Au ,...kama 80% ya watanzania wanaish vijijin it means wale wanakijiji sio watu? Na kama watu sio watanzania?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya Kikwete kufanya ziara rasmi nchini China kuanzia Oktoba 21-26, 2014

    Aemde africa magharibi akawape pole wagonjwa wa ebola.
  15. B

    JamiiForums Tanzania UDSM, DUCE and MUCE: Shift from Unit system to credit system

    waulizen SUA ilivyo 3hrs lecture ni kawaida na tushazoea
Back
Top Bottom