British economist
Senior Member
- Jul 14, 2013
- 104
- 14
waulizen SUA ilivyo 3hrs lecture ni kawaida na tushazoea
Lecture kua ya 3 hours kawaida kwa UDSM, utakuta ratiba inaonyesha mnaingia practical session laboratory lakini lecturer anakuja na laptop na projector yake anaanza kupigisha pindi hadi mwisho wa hizo 3 hours.
Wadau,kwa wale ambao huwa hamna utamaduni wa kutembelea a/c zenu za aris,kuna mabadiko hasa kwa kozi za coss,udbs,cohu na udsl,mabadiliko yenyewe ni kwamba,zile kozi ambazo zina units ambazo kimsing total units zake zinatakiwa ziwe 15 zimebadilika na kuwa 12,na zile zenye 2 kama DS ambazo total units zake znatakiwa kuwa 10 zmebadilika na kuwa 8...bado haijajulikana kama ni technical error au ni mabadiliko yaliyofanywa na chuo..asanteni.
NB:Wale tunaoingia mwaka wa 3,kale kakipengele ka kuconfirm kama utaudhurua kwenye graduation kameshawekwa,me nishaconfirm tayari.
we ucwasemee conas,wazungumzie ngwini wa coss,udbs,law na cohu,hao hawajazoea kukaa kwenye vipindi muda wote huo,itakua ni ful kumbonji yani.
Wadau,kwa wale ambao huwa hamna utamaduni wa kutembelea a/c zenu za aris,kuna mabadiko hasa kwa kozi za coss,udbs,cohu na udsl,mabadiliko yenyewe ni kwamba,zile kozi ambazo zina 3 units ambazo kimsing total units zake zinatakiwa ziwe 15 zimebadilika na kuwa 12,na zile zenye 2 kama DS ambazo total units zake znatakiwa kuwa 10 zmebadilika na kuwa 8...bado haijajulikana kama ni technical error au ni mabadiliko yaliyofanywa na chuo..asanteni.
NB:Wale tunaoingia mwaka wa 3,kale kakipengele ka kuconfirm kama utaudhurua kwenye graduation kameshawekwa,me nishaconfirm tayari.
Watu wengine bna...na wewe hii unaona ni taarifa??...
ulitaka iwe breaking news?
thanks,accomodation ndio wanazingua mpaka now bado??!!!!!!??!!
haya sisi wa conas tuendelee kusubir aris
hilo ni tatizo.
Hata ARIS ya 'first year students' bado inaonyesha 'block sorry'
usipaniki.
Watu wakushangaa kwa kukuona uko bize, kumbe hata hii taarifa ulikua huijui.
Chakukusaidia tu ni kwamba, udsm imehama kutoka kwenye mfumo wa units na kwenda kwenye mfumo wa credits.
i.e
3units = 12credits and
2units = 8credits.
usipaniki.
Watu wakushangaa kwa kukuona uko bize, kumbe hata hii taarifa ulikua huijui.
Chakukusaidia tu ni kwamba, udsm imehama kutoka kwenye mfumo wa units na kwenda kwenye mfumo wa credits.
i.e
3units = 12credits and
2units = 8credits.
Hahahaaaaa nalo neno mkuu, kwa CoNAS,CoET na CoICT maisha ya 3hours ni jambo la kawaida tu
duuuu kazi ipo bora nimemaliza