Rais wa chuo cha Sokoine,Francis Ndunguru atumbuliwa baada ya kufisidi Mil 4!

British economist

Senior Member
Jul 14, 2013
104
14
Katika hali ya kushangaza, Bwana francis ndunguru aliyekuwa raisi wa chuo, ameingia katika kashfs kubwa ya ufisadi wa zaidi ya shilingi 4.7million alioomba kutoka management kwa ajili ya kufanya uchaguzi mpya wa viongozi...kwa maelezo zaidi soma barua
IMG-20160523-WA0029.jpg
hizi
IMG-20160523-WA0029.jpg
IMG-20160523-WA0026.jpg
 
Attachments

  • IMG-20160523-WA0025.jpg
    IMG-20160523-WA0025.jpg
    56.4 KB · Views: 86
Mbona hela ndogo sana hiyo mambo mengine yanazungumzika unless walikua hawamtaki.
 
Ili kuirejesha nchi ktk misingi ya uadilifu na kutambua kuwa mtu anapewa cheo kama dhamana lazima tumchukulie hatua hata aliyeiba shilingi mia. Ufisadi wa milioni 4 ukiachwa au kuchukuliwa poa utazaa ufisadi wa mabilioni.
 
Hizi hela za serikali ya wanafunzi nimezipiga sana wakati nikiwa chuoni. Nakumbuka kila seat tulikuwa tunalipwa posho ya shilingi 50 elfu, hata hivyo tulikuwa haturidhiki na kwa mwezi siyo chini ya seat 3 zilikuwa zinafanyika.

In short while ukiwa chuo kama ni mjanja mpaka unamaliza chuo unaweza kujenga nyumba au kupata MTAJI maana kila entry siyo chini ya Milioni 100 zilikuwa zinaingizwa katika akaunti ya serikali ya wanafunzi
 
Mbona hela ndogo sana hiyo mambo mengine yanazungumzika unless walikua hawamtaki.
Milioni nne ni pesa ndogo!!.

Kama milioni nne,pesa ndogo tu kwa mujibu wako ameweza kuzifisadi vipi akipewa bilioni zitapona kweli?.
 
Hizi hela za serikali ya wanafunzi nimezipiga sana wakati nikiwa chuoni. Nakumbuka kila seat tulikuwa tunalipwa posho ya shilingi 50 elfu, hata hivyo tulikuwa haturidhiki na kwa mwezi siyo chini ya seat 3 zilikuwa zinafanyika.

In short while ukiwa chuo kama ni mjanja mpaka unamaliza chuo unaweza kujenga nyumba au kupata MTAJI maana kila entry siyo chini ya Milioni 100 zilikuwa zinaingizwa katika akaunti ya serikali ya wanafunzi
Mkuu umenikumbusa mbali sana hata mimi nilibunya sana hizo hela mbali ya posho ya vikao..safari za kikazi na kujifunza zilikuwa haziishi nashukuru wakati namaliza chuo tayari nilishapata hela ya kununua kiwanja
 
Hahha, dah!! kila wakati tulikuwa tuna formulate vikao na kujaribbu ku twist katiba ilimradi tutumbue mipesa maana ikibaki inarejeshwa chuoni tena na kila mwaka zilikuwa zinatolewa
 
Huyu ndiye yule jamaa aliyetoa tamko kumkandia EL mwaka 2015 na kuisupport CCM?!

Kama ndiye! Basi kajifunza kwa baba zake.
 
Hizi hela za serikali ya wanafunzi nimezipiga sana wakati nikiwa chuoni. Nakumbuka kila seat tulikuwa tunalipwa posho ya shilingi 50 elfu, hata hivyo tulikuwa haturidhiki na kwa mwezi siyo chini ya seat 3 zilikuwa zinafanyika.

In short while ukiwa chuo kama ni mjanja mpaka unamaliza chuo unaweza kujenga nyumba au kupata MTAJI maana kila entry siyo chini ya Milioni 100 zilikuwa zinaingizwa katika akaunti ya serikali ya wanafunzi
Kumbe kuna pesa sana ndio maana watu wanatoana roho ee
 
kwasisi wafanya biashara milion nne ni hela ndefu sana....sasaivi ukinipipa hizo million nne mwezi wa 12 nitakuwa na milion 16....so msiseme ni hela ndogo jamani
 
hivi ndio vikitoka chuoni vinajiingiza kwenye siasa na kufanya ufisadi vikiwa chuoni vinasomea na somo la ziada la ufisadi vikitoka vimehitimu
 
Back
Top Bottom