Recent content by Brindy

  1. Brindy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu huwa ananibaka

    i think kuna shida mahali.nahisi ana tatizo na kulisema anashindwa.
  2. Brindy

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

    Nimechekaaaa mnoooo aisee
  3. Brindy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nitakavyotengeneza muunganiko(bond) kati yangu na mwanangu alieko tumboni

    Amina utapata.
  4. Brindy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi nitakavyotengeneza muunganiko(bond) kati yangu na mwanangu alieko tumboni

    Aisee una hamu na mtotoooo
  5. Brindy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hebu niambie; Mpenzi wako au mumeo/mkeo akikupiga hadharani, utachukua hatua gani?

    Ntanyamaza tu niondoke eneo la tukio,litakalofwata nyumbani kwakweli sifahamu.....najua tu sitaweza kumrudishia.....
  6. Brindy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlioolewa ni nini kiliwaliza siku ya harusi?

    Nlilia cku moja kabla....nliwaza ntakavyomiss kwetu....na mambo ya kuomba ruhusa kwenda nyumbani dah! Nlikuja kulia tena a week after baada ya kuwakumbuka sana kaka zangu. Na pia ule usia wa kuwa mume ni mtoto wako wa kwanzaaaa ulikuwa unaniwazisha esp nikiwaza amenipita 10 years how...
  7. Brindy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulimpataje umpendae?

    Dah....mi tulimit bar...ilikuwa mara yangu ya kwanza kuingia bar. Tukadate miaka miwili na sasa tuna mwaka ndani ya ndoa.
  8. Brindy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kimenuka mke wa jamaa yangu nilimuweka kwenye whatsapp

    hauko serious..... unawezaje kufanya hivyo?
  9. Brindy

    JamiiForums Tanzania Taazia: Ebby "Ebrahim" Sykes, 24 Februari 1952 - 15 Februari 2015

    nyc ...pole sana kwa msiba
  10. Brindy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa mwanamke ambaye hajishughulishi kitandani wala hataki nimshike

    ushindweee! labda wa kwako.
  11. Brindy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

    mi nakuelewa vyema belie. sema sina namna ya kukusaidia
  12. Brindy

    JamiiForums Tanzania Movie hii itatoka hivi karibuni

    watanzania bwana, embu jaribu kuthamini vya kwenu! ntaitafuta ikitoka.
  13. Brindy

    JamiiForums Tanzania Dr. Myles Munroe, Mkewe na mtoto wao wafariki katika Ajali ya Ndege

    very sad indeed. utakumbukwa kwa mengi hasa kwa namna ulivyobadili maisha ya wengi. RIP both you and your wife and daughter.
  14. Brindy

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Wanaoitwa interview na utumishi wa umma

    thanks alot mkuu
  15. Brindy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    duuh! kwahiyo vibonge hatuna letu?
Back
Top Bottom