Recent content by brina_

  1. B

    Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Best achana na hawa vinyamkera wana stress za maisha, don't give up be strong mama jikaze utafanikiwa mm nachokushauri jitahid upate hata elfu 10 nunua beseni tembeza mihogo mibichi na machungwa kwenye sehemu za ujenzi au bodaboda utauza au nunua trey ya mayai chemsha anza kuzungusha kikubwa...
  2. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongereni wote mliolamba asali
  3. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yeah hapo wamepunguza idadi naona hao 29 watachukua database maana Kuna post tayar wamefanya sana interview tuendelee kupaza sauti watasikia kilio chetu. Nikisema huyu mbingunikwetu ni psrs mwenyew mnakataa kunielewa 😂😂 Ni kweli hao 29 watachukua database ndio maana wakapunguza
  4. B

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    😂 🤣 nishatoboa maisha na sijali Walimerge ule uzi asa nikashindwa muendelezo na kejeli za watu hapo nikachoka
  5. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndio ushangae wengine tukisema tunaonekana waongo hata kazi za Tira mawakili sijui na insurance wamefanya interview juzi juzi tu. Hata hizi za assistant account watu wamepiga interview juzi juzi tu na hamna placement yoyote ila wamekazana kutangaza upya ili wapate posho
  6. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mwisho ni kutafuta suluhu tukikaa kimya na wao wanaendelea kututesa
  7. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wametangaza kazi za LGA and MDA wanaona hata aibu kuandika tangazo la nafàsi za kazi LGA and MDA wakaweka tu tangazo la kazi 😂😂😂😂😂 Msichojua ni kwamba kwenye huu uzi wapo mawakala wa psrs na Moja akicomment mwingine anakuja kusapoti na pia wana tabia ya kujidai kuuliza maswali yenye kulenga...
  8. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mpotezeeni huyo amekuja kupotosha uzi na kututoa kwenye mada Asa kazi zenyewe hatujapata tuanze kujadili mishahara badala ya kupaza saut psrs wajirekebishe na kutoa placement kwa wakat nyie mnakubali kuyumbishwa
  9. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Fungueni uzi wenu mkajadili mishahara Maana huyu wakala wa psrs anatutoa kwenye lengo la uzi. Tungeendelea kusukuma ajenda kwanini wanarudiarudia kutangaza post zilezile daily abeche mfwende sawadogo
  10. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Cha ajabu ni kwamba database haina watu 🙄🙄🙄 au ni kutafuta posho tu wanazingatia. Basi kama ndio hivyo database ifutwe maana haina maana kila siku kufanya interview post zilezile Mfano: mhandishi umeme, hydrogeologist, procumbent and supplier's office, assistant account, transport officer, ict...
  11. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naombeni muache kujadili masuala ya mishahara mnatoka nje ya uzi. Hapa ni kwa ajili ya jobless na mambo ya usahili hivyo kaanzisheni uzi wenu
  12. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    We vp ndio sababu ya msing maana sikumbuki password na email nayotumia tofaut hivyo mind your business huwezi kupotosha uzi alafu tukuchekee. Unatafuta huruma kwa kulia Lia kwendraa
  13. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sio nimejiunga juzi nipo mda mrefu since 2015 sema nimefungua account mpya baada ya kubadili cm.
  14. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    mbingunikwetu wewe ni mnafiki na lengo lako upo kuwatetea psrs na si vinginevyo unajitahid kuwatoa jobless kwenye lengo la uzi
Back
Top Bottom