Recent content by brightmind

  1. brightmind

    Shule ya msingi Nzivi Green Star inatangaza nafasi ya ualimu

    Shule ya msingi Nzivi Green Star English Medium iliyopo Mufindi Iringa inatangaza nafasi ya ualimu. Mwalimu wa kike wa masomo ya kiingereza/primary anahitajika haraka. VIGEZO 1. Awe na uwezo kufundisha watoto kujua kusoma na kuandika kwa kiingereza kuanzia la kwanza. 2. Awe tayari kuja...
  2. brightmind

    TANGAZO LA AJIRA ZA UALIMU

    Shule ya Nzivi Green Star English Medium primary school iliyopo Mufindi-Iringa, inatangaza fursa ya ajira za ualimu. 1. Nafasi mbili za walimu wa hisabati na sayansi. 2. Mwalimu mmoja wa Montesori 3. Mwalimu mmoja wa kiingereza. *Vigezo Maombi yatumwe kupitia email ya mwalimu mkuu...
  3. brightmind

    SoC02 Sio kweli, ndoa sio tamu😎

    Mwalimu T, Rafiki yangu kipenzi wa enzi na tena mhitimu wa ndaki ya Ruaha. Kwa sasa ninafanya naye kazi. Alidumbukia ndoani miaka miwili iliyopita. Bwanaye ni mshehereshaji, mwembamba wa mwili na mkubwa wa maneno. Hachagui neno lipi lianze na lipi lisubiri. Wala hajui hapa aseme lipi na pale...
  4. brightmind

    Love story: Utamu mpaka basi

    Shebby si mwanangu kiviile sema anahusika sana kunipa mapande mbalimbali. Mchizi wangu kibonge Suddy ndo zinapanda sana japokokuwa hana mchongo wa maana hapa town. Huwezi amini majuzi kati nmechill zangu gheto mara mwamba Shebby huyu hapa, halafu yuko na pisi mbili kali kishenzi. “Oya kamanda...
  5. brightmind

    Brother uliyeoa nisikilize

    Ndoa haiendeshwi na maoni[emoji23]. Ndoa hutegemea tamaduni na personalities. Sio kila mtu anapenda chat chat, kurukaruka, kushikana na kuonekana public. Halafu hatufanyi mambo robotically, eti mfanyie hili au lile kila siku hiyo ni kuwa mechanic na sio genuine. Acha uhalisia uongee. Mwalimu wa...
  6. brightmind

    SoC01 Hekima: Ufunguo Halisi wa Utajiri

    Dunia inatangaziwa kutatokea mafuriko baada ya siku tano. Dalai Lama anawaambia waumini wa Kibudha inatakiwa wafanye tahajudi (meditation) na wasubiri kuzaliwa upya (reincarnation). Papa anawaambia waumini wa Kikatoliki duniani kutubu dhambi zao na kuomba. Lakini Mwalimu wa Kiyahudi (Rabbi)...
  7. brightmind

    Shule Binafsi zinawaumiza Wananchi kwa kutoza ada kubwa

    Hakuna anayelazimishwa kupeleka watoto shule za private, kama pesa inaruhusu unapeleka kama hauna shamba la bibi lipo[emoji16]. Na private zinatofautiana bei, zipo zenye gharama kubwa kama international school of Moshi na Tanganyika, ada zinaenda hadi zaid ya 70m kwa mwaka grade za juu. Lakn...
  8. brightmind

    Naomba msaada wa kupata mawasiliano hayo

    Habari ndg. zangu! Naomba msaada kwa mtu mwenye mawasiliano ya Watanzania fulani waliosomea China walianzisha magroup ya whatsapp kutoa msaada namna ya kuomba Chinese scholarships kwa mwaka jana. Kwa bahati mbaya nilipoteza mawasiliano yao. Yeyote tafadhali mwenye mawasiliano yao au links za...
  9. brightmind

    Ipi 3 bora yako ya wanamuziki wa muda wote Duniani?

    Naupata vizuri mziki wa hawa watu ni fire!!!!. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. brightmind

    Ipi 3 bora yako ya wanamuziki wa muda wote Duniani?

    [emoji2][emoji2]dah Sent using Jamii Forums mobile app
  11. brightmind

    Ipi 3 bora yako ya wanamuziki wa muda wote Duniani?

    Binafsi ni, 1. Michael Jackson 2. Whitney Houston 3. R-Kelly Shuka na yako !!!
  12. brightmind

    Sema ukweli, umewahi fanya mapenzi na wanaume au wanawake wangapi?

    Nani huruhusu na nani hukataza? Halafu nimeona uzi wako umechoka kukaa kwa mama mkwe[emoji3][emoji3][emoji3]. Ujue hata hiyo ni dhambi. Dhambi ya kutomheshimu mume kama kichwa cha familia kama biblia isemavyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. brightmind

    Sema ukweli, umewahi fanya mapenzi na wanaume au wanawake wangapi?

    Una biblia ya kiafrika? Au unatumia tu hiyo ya wazungu ? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom