Shule ya msingi Nzivi Green Star inatangaza nafasi ya ualimu

brightmind

Member
Dec 24, 2018
72
103
Shule ya msingi Nzivi Green Star English Medium iliyopo Mufindi Iringa inatangaza nafasi ya ualimu.

Mwalimu wa kike wa masomo ya kiingereza/primary anahitajika haraka.

VIGEZO

1. Awe na uwezo kufundisha watoto kujua kusoma na kuandika kwa kiingereza kuanzia la kwanza.
2. Awe tayari kuja kufanya kazi Mufindi - ni eneo lenye baridi
3. Amehitimu chuo chochote kinachotambulika na serikali.
4. Ngazi ya elimu, kuanzia diploma.

Maombi yote yatumwe kupitia email maniguharuni@gmail.com au WhatsApp 0757501566

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/04/2023.
 
Mwisho wa kutuma maombi ni tar 25/04/2023.
Ndugu utakuja kuulizwa masilahi ya mwalimu

Je wanaume huwataki katika hizo kazi ?

Je makazi na maradhi ya mwalimu yapoje ? Waelezee waelewe.
 
Mnachosha watu kwa kufanya wasome matangazo na kupoteza muda wao!

Jamii mliopo na mazingira yenu huko mmekosa mwalimu hadi uweke humu?

Mnatoa matangazo wakati mna watu wenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom