Recent content by Bright

  1. Bright

    Unawaelewaje Wana-JF Hawa......?

    Umeanza mambo ya Shekh Yahya kama sio ndoto uliyoota usiku!
  2. Bright

    UDSM is ranked 10th, SUA 45th out of 100 top African universities - 2010

    What are the considerations in this ranking?
  3. Bright

    Sasa nataka kuoa.

    Nafikiri ni vizuri na wewe ukatoa sifa zako naye atakaye endana na hivyo vyako afanye maamuzi. In pyschology it is said "human beings are very complex"; that is, they can behave unexpectedly in a good or bad manner.
  4. Bright

    Hivi kujua lugha ya kiingereza ndiyo usomi Tanzania?

    Ukienda kwenye li-international conference huko South Africa utafanyaje na hiyo presentation yako kwa Kichina? Utajifunza nini kutoka kwa hizo za wenzio ambazo ziko kwa Kiingereza? Utakuwa msomi uliyejitenga na wenzio!
  5. Bright

    Hivi kujua lugha ya kiingereza ndiyo usomi Tanzania?

    Kwa aliyekulia na kusoma hapa Tanzania tu kuanzia kidato cha kwanza na kuendelea usomi wake utapimwa pia kwa Kiingereza pia. Ila kama kakulia nje na kusoma huko au hata bila kusoma, Kiingereza hakiwezi kutumika kupima usomi wake.
  6. Bright

    Ni ubunifu au 'Mis yuzi?'

    Wanajaribu kuangalia umakini wa polisi wa usalama barabarani!
  7. Bright

    Miss universe 2010: Hellen dausen photos

    Niliwahi kumwuliza jaji mkuu wa miss Tanzania, bwana Shah, vigezo vinavyotumika kumpata mshindi na kuniambia yafuatayo: 'shape' na 'size' ya mwili, urefu kwa kimo, size ya hips, n.k. Hii ilinipa hisia kuwa mashindano haya yanaanzia kwingine - ndani ya chumba hivi bila watazamaji - na kuishia...
  8. Bright

    Ni kweli ndoa ya Clouds Fm na CCM ishafungwa?

    Ndoa ilikwisha fungwa toka enzi ya uhai wa marehemu Amina Chifupa. Halafu hiyo hesabu nafikiri atakuwa amesaidiwa na mwenyekiti wa WAMA Foundation.
  9. Bright

    Kikwete azungumza na wazee wa Dar; ajiandaa kwa mgongano na TUCTA

    Usiwasahau na Synovate waliompa kichwa pia.
  10. Bright

    Kikwete azungumza na wazee wa Dar; ajiandaa kwa mgongano na TUCTA

    Safari hii na mimi nitapiga kura hata kama upinzani kutakuwa na 'bomu'.
  11. Bright

    Hivi Jakaya Mrisho Kikwete ni kweli alikuwa Tumaini lililorejea 2005?

    Bwana Prince M. Bagenda aliandika kitabu chenye kichwa cha habari "Jakaya Mrisho Kikwete: Tumaini Lililorejea" na kuchapishwa Machi 2006. Nafikiri mwaka 2011 inabidi tena aandike kingine sasa sijui kichwa cha habari kitakuwaje. Tumaini kama huyu JK tuliwahi kuwa nalo kweli baada ya uhuru?
  12. Bright

    To all Investors in Tanzania "Get out of Tanzania and Go F@#% Yourselves"!

    Kwanza atuambie kwa nini anataka kugombea ubunge kwenye majimbo ambako dhahabu inachimbwa ukitoa Ubungo na huko aliko sasa. Pia alishabikia kununua mitambo ya Dowans kinyume na sheria ya manunuzi?
  13. Bright

    Pamoja na Bodi kumpendekeza, Dk Rashid aweka sharti la kurudi TANESCO!

    Nafikiri tuangalie huko kote alikopita ameachangia mazuri yapi? Kama anatetea kununua mitambo iliyotumika kinyume na sheria ya serikali ya manunuzi, atakuwa na matatizo kwa maana sheria ikimsogelea atasema ilikuwa mipya! Kwanza ule mtambo wa songas pale Ubungo ulitakiwa ujenge kule Kinyerezi...
  14. Bright

    Pamoja na Bodi kumpendekeza, Dk Rashid aweka sharti la kurudi TANESCO!

    Na wewe ni mtanzania? Kama ndio je hiyo sifa kwenye nyekundu inakuhusu.
Back
Top Bottom