Recent content by bright pledge 255

  1. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

    Du mbona hatari ,mnazidi kututisha mabachelor
  2. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hatupendi kujifunza. Mitandao, na hasa YouTube ni darasa Tosha

    Kama mdau mmoja alivyosema hapo juu mimi nimejifunza lugha mpya spanish so kwa maongezi ya kawaida nayaweza sana kuongea na kusikiliza pia naweza kusoma habari mtandaoni au kwenye gazeti lolote nikaelewa vizuri tu bila shida gracias youtube para ensenarme espanol eso es
  3. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    Lips cheilitis mkuu . Yani ngozi ya kwenye lips hubanduka na kutoka mdomo ote mwekundu nikila mbele ya watu wanaweza kutapika wote ngozi ikiguswa tu na maji inakuwa kama ukoko wa ugali just imagine mdomo umevimba sana na yote hayo kwa miaka 10 yote nishatumia dawa na dawa nishaenda hospitali za...
  4. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    Kwa maobi niliyoomba tokea niugue kama ningeyahamishia yakawa ni kuomba nipate pesa ningekuwa tajiri mkubwa yani unaweza kuwa unaomba kila baada ya dakika kazaa lakini wapi
  5. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani kubwa ulilifanya kwenye maisha yako na usingependa wengine walirudie?

    Najuta kuzaliwa afadhali nisingezaliwa mateso juu ya mateso miaka 10 sasa naumwa ugonjwa usioeleweka sijui ni kansa ya ngozi ? Nikienda hospitali madoctor wanasema siyo kansa napewa madawa tu siponi namuomba Mungu achukue maisha yangu au aniponye lakini hakuna hata moja linalotokea kweli dunia...
  6. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayochangia ubaki kwenye hatua moja ya maisha

    Hiyo ya magonjwa ndio inanisumbua nawaza sijui nikipata pesa ndiyo nitapona ama nikipona ndiyo nitapata pesa, siwezi hata kulia sababu pains are too heavy
  7. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    Du
  8. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania Kuna muda lafudhi zinakuwa zinakata vibe

    Du hii ilishawahi kunitokea advance bukoba kwenye ile shule maarufu pisi zilikuwa zinanikubali kimuonekano ila kiswahili kilikuwa cha kisukuma kilinikosesha credit kwa watoto wazuri ,kutokana na unfair comparison kati ya apearance yangu na kiswahili changu ikabidi nichange character nikaacha...
  9. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania Najuta sana

    Du
  10. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Joti huwa anawachekeshaje watu?

    Brother k ukimuona tu unacheka kabla hajaanza kukuchekesha
  11. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Alieniambia nimuweke man u kwenye mkeka wangu mbinguni atapasikia tu
  12. bright pledge 255

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Duuu
Back
Top Bottom