Ndugu
Kubwa ambalo linasikitisha katika Mkoa wetu wa Tanga ni uharibifu mkubwa wa mazingira unaondelea katika maeneo ya misitu yetu ya hifadhi hasa katika misitu ya uwanda wa milima ya Usambara mashariki na magharibi ambayo ni vyanzo muhimu sana vya maji katika mkoa wetu wa Tanga.
Pamoja na...
Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa nyumbani kwaa ni kijiji cha Mkuzi kule Muheza na anatokea Ukoo wa Chief Mang'enya ambaye mtoto wake mmoja Meja Jenerali Mang'enya aliwahi kuwa speker wa bunge na alifariki hivi karibuni na kuzikwa kwao Muheza.............
Ni jambo la heri sana tuwe realistic kuliko kukurupuka na kuzusha vitu ambavyo si vya kweli. Alichokizungumza Profesa Sospeter Mwijarubi Muhongo mara baada ya kuapishwa ni kwamba anatambua tatizo la umeme liliopo nchini kwa sasa na amejipanga kikamilifu kukabiliana nalo ambapo akasisitiza kwa...
WASIFU WA PROFESA SOSPETER MUHONGO
Prof Sospeter Muhongo, a Tanzanian, Officier, Ordre des Palmes Académiques, is a Full Professor of Geology at the University of Dar Es Salaam, Tanzania and an Honorary Professor of Geology at the University of Pretoria, South Africa. He is an Honorary Fellow of...
JERRY SLAA NA MIKAKATI YAKE YA KUTAFUTA UBUNGE JIMBO LA UKONGA 2015:
Siku zote kiongozi bora wa uma ni yule anayekubali kukosolewa na kujisahisha pale inapobidi ili kuboresha ufanisi wa kazi yake. Jerry utake usitake kwenye hili lazima tukukosoe kwa facts, wewe umekuwa diwani katika kata ya...
JERRY SLAA NA MIKAKATI YAKE YA KUTAFUTA UBUNGE JIMBO LA UKONGA 2015:
Siku zote kiongozi bora wa uma ni yule anayekubali kukosolewa na kujisahisha pale inapobidi ili kuboresha ufanisi wa kazi yake. Jerry utake usitake kwenye hili lazima tukukosoe kwa facts, wewe umekuwa diwani katika kata ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewateua wafuatao kuwa Mabalozi:-
(i) Mhe. Phillip MARMO, ameteuliwa kuwa Balozi nchini CHINA. Kabla ya hapo Mhe. Marmo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge.
(ii) Dkt. Deodorus B. KAMALA...
Kwanza kabisa kwa nafasi ya upekee kabisa ninaomba niwapongeze makamanda tuliowapa ridhaa ya kukiongoza chama huku jimboni Ukonga. Kimsingi CDM kimekuwa chama chenye nguvu katika maeneo yetu lakini tulikosea sana katika kumsimamisha mgombea wa Ubunge Jimbo la Ukonga mwaka 2010, Mzee Binagi...
Jamani ni vyema tunapokuwa tunachangia tuwe wa kweli kwa hoja tunazozizungumza. Nasikitika sana kuona baadhi ya mijadala inaendshwa kwa unazi wa vyama vya siasa. Nimesikiliza na kutazama bunge leo hii Mheshimiwa Tundu Lissu alipokuwa kichangia alijaribu kurefer different refrences kuhusu sehemu...
Ninasikia alikuwa Karani wa Raisi JK, nakumbuka hata ile speech ya aliyowahutubia wazeee wa Dar es salaam wakawa wanamshangilia kuhusu wafanyakazi yeye ndiye aliiandika.
Asante sana mtoa mada, awali ya yote kabla sijatoa mchango wangu kuhusu hawa wagombea. Napenda kutumia nafasi hii kuwapongeza wote waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye baraza la vijana CHADEMA-BAVICHA. Baadhi ya wagombea ninawafahamu vizuri wasifu wao na uwajibikaji wao...
Jamani Kimsingi niliwahi kuyasema haya kwa baadhi ya scientists wa NIMR kule centre ya AMANI pamoja na TANGA mjini, zote hizo unazozisema mtoa mada ni collection ya reports ambazo zimefanywa na KEMRI wakishirikiana na ICIPE nchini kenya on species ya Carrisa edulis ambayo imeonekana kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.