Geita ndio Wilaya maskini Tanzania je ni sahihi?

Laurence

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
3,104
420
Hayo yamesemwa na Mh.Tundu Lissu bungeni muda mfupi ingawa kwa uzalishaji madini ndio sehemu ya nne kwa Uzalishaji madini barani Africa je wanapaswa kama inavyostahili wananchi wa eneo hilo? Tujadili kwa pamoja.
 
Acha kupotosha amesema nanukuu"Geita ni miongoni mwa wilaya maskini zaidi nchini" mwisho wa kunukuu.

Tuwe makini tusipindishe maneno kwa kuwa huwa inaharibu maana.
 
Jamani ni vyema tunapokuwa tunachangia tuwe wa kweli kwa hoja tunazozizungumza. Nasikitika sana kuona baadhi ya mijadala inaendshwa kwa unazi wa vyama vya siasa. Nimesikiliza na kutazama bunge leo hii Mheshimiwa Tundu Lissu alipokuwa kichangia alijaribu kurefer different refrences kuhusu sehemu mbalimbali duniani zenye rasilimali na madini ambapo Geita ni ya pili kwa kuwa na resources ya madini lakini ndiyo ya kwanza kwa umasikini ambapo amejaribu kueleza athari zake ikiwemo kuibuka kwa machafuko ya ugomvi wa rasilimali kama ilivyo Sudani ya Kusini katika mji wa Abyei, eneo la Kabinda huko Angola. Sikusikia kama amesema kuwa Geita ni wilaya ya kwanza kwa umasikini.
 
Back
Top Bottom