mfereji maringo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 1,037
- 251
Thanks
Nimecheka sana kusoma jina la huyu chizi!"haTa-mbweha Hizi"
Jazia mwenyewe bana nachoshwa na maswali uchwara haya banaAlishinda nini? Kesi ya wizi wa mke wa watu?
Nakuunga mkono Mkuu tunatakiwa tuanze kuchangia uanzishwa wa kituo cha redio na TV kitakachojulikana kama NGUVU YA UMMA!!CDM tv inaanza lini au hata redio basi, hebu changamkeni, saa ya ukombozi wa umma kwa teknohama:redfaces:
WanaJF nimekuwa nikifatilia mijadala hapa JF
lakini ZItto amekuwa online hapa JF TOKEA asubuhi mpaka sasa akichungulia baathi ya thread utampata.
Je ZITTO bado anapuuza chama chake DODOMA???
Twendeni mbele tukijadili maswala ya taifa na future yetu sio kujadili vikao vya sisiem wakigombania nani achukue deal ya umeme daada ya dowans. Tuwaelimishe watanzania mkoa baada ya mkoa. Katiba ni muhimu sana na ndio chanzo cha maendeleo ya taifa. Mikoa tunayotakiwa kwenda kuhamasisha wananchi: Moro, Iringa, Mbeya, Ruvuma, Tanga, Mara, Mwanza, Bukoba, Shiyanga, Pwani, Rukwa, Dar, Arusha.
Chadema lazima tuhakikishe nakala zote za katiba zichapishwe kwa kiswahili na kuhakikisha kila mwananchi anapata nakala yake tu-highlight sehemu zote za majukumu na mamlaka ya raisi na tume ya uchaguzi. Sehemu nyingine ni chombo cha kupigania rushwa kupewa uwezo na mamlaka ya kuwa hukumu bila kuingiliwa na raisi. Jingine ni raisi asipewe "immunity yoyote ile" akifanya makosa aondolewe madakani. Tuunde kamati maalumu kuelimisha watanzania juu ya katiba mpya na umuhimu wa wananchi kuipigia kura na sio bunge la sisiem, tusikubali hii mipango ya kupitisha viraka vya kikwete bungeni.
Trust me, tukipata katiba ya ukweli na haki tutapa uchaguzi wa haki na transparency katika kala swala serikalini.
Kama nia yenu itakuwa kuleta mabadiliko chanya kwenye maisha ya watanzania kwa kuhimiza uwajibikaji serikalini, mtakuwa mmefaulu na tutawapa big up. Ila kama nia ya hili ni kupata urais, CCM watawapiga bao la kisigino kwa sababu wanajua kustrategize.
Wewe kweli maskini na mvivu wa mawazo. Unachozungumzia unaonyesha hujui siasa. Kuongoza inchi sio lazima uwe raisi au kwenye hii nafasi. Kwa upande wako makamba na nec walichokifanya ni strategic au ni wizi, kwanini tunapigania katiba au haupo tz? Impact ya chadema mpaka sasa huoni kabisa? Let's focus na mapambano yetu ya democratic reforms na kuacha wananchi kama hawa. We need more citizens who care about the country in parliament not mafisadi.
Freema Agyeman naona unashadadia hii thread utafikiri unalipwa, kulikoni?