Prof Sospeter Muhongo na ahadi ya megawati 5,000

Prof Sospeter Muhongo na ahadi ya megawati 5,000

Kuzalisha wanaweza kudizalisha ila hapa tatizo ni kuzisafirisha na kuzisambaza. Hii issue ilishazungumziwa wakati walipodai kuwa China imetoa billion kwa ajili ya kuzaliza umeme. Inasemekana njia za sasa za kusambaza umeme hazina uwezo wa kusambaza kiasi kikubwa kama hicho cha umeme. Kujenga njia za usambazaji inachukua miaka kibao. Either itabidi waongeze uwezo (upgrade) wa zile grid zetu za sasa au wajenge mpya. Wote tunajua hilo zoezi huwa linachukua miaka mingapi kutokana na experience zetu za ujenzi wa zile grid za zamani. Nafikiri ni swa na kujenga barabara mpya. Sasa sijui kama muheshimiwa anaongea tu au kisha fanyia kazi yote mawili (uzalishaji na usambazaji).
 
Total hydroelectric potential Tanzania 4,6 GW = 4600 MW. With all due respect Muheshimiwa labda atueleze jinsi he intends to generate five thao megawatts.
 
Anaweza kutimiza ahadi hii kama atafanya mop up shirika la tanesco na pia wizara kwa ujumla. safisha uchafu wote kwanza
 
Nadhani wengi tunashangaa sababu tumezoea kuona insignificant levels of development tu.Kwa mtu ambaye ameamua kupunguza siasa na kuweka utendaji mbele,megawatts 5000 ni achievable target ingawa inaweza kuchukua muda kidogo.

Asilimia karibu 80% ya umeme wa china unatokana na makaa ya mawe..tuna hazina kubwa sana ya makaa kule kiwira na kwingineko,ambako hata coal power engineers wa kichina wameshafanya feasibility study ikaonekana reserve ya coal ni kubwa kiasi tunaweza kuuza umeme mwingi sana huko malawi na zambia,achilia mbali kusambaza mikoa ya karibu na mbeya..tatizo letu watanzania tumeweka ushabiki wa siasa mbele kiasi hatitazami facts tena..
 
Stop press! Scientist have calculated Congo River ALONE can provide 13% of global hydropower,sufficient power for all subsaharan Africa. Damn, all i need is right here in Africa. Damn the politicians uchawra.
 
Masikini hajui alisemalo, anafikiri kwenye govt mambo yanaenda smooth and straight. Atakutana na vikwazo vifuatavyo.

i. Sheria ya utumishi wa umma. Atajikuta hawezi ku jenga team imara ya kufanya kazi. Badala yake atalazimika kufanya kazi na watumishi waliokwisha ota magamba, ambao hawezi kuwaambia lolote hata kuwawajibisha.
2. Sheria ya manunuzi. Atajikuta inachukua muda mrefu wenyewe wanaitaa mchakato kupata mkandarasi wa kujenga/kusupply mitambo ya kufua umeme. Mwisho wa siku wataishia kupata mzabuni ambaye ni lowest bidder ambaye atashindwa kufanya kile alichitarajia na kujikuta anaishia kupata kashfa kama ya richmond na kutakiwa kujiuzulu.

iii. The wananchi. Ambao watapiga kelele na kuaminishwa kuwa waziri alipokea rushwa wakati wa kupata mkandarasi. Waandishi wa habari na wabunge kwa kutumia mgongo wa wananchi watashinikizwa ang'olewe baada ya mchakato wa kumpata mzabuni kutotoa matunda yaliyitarajiwa.

Amini usiamini. Hivyo vitu vi 3 ndo vita mwaribia kama ilivyotokea kwa watangulizi wake
 
hajakurupuka kweli huyu?

SI juzi nilimsikia yule mtangulizi wake, aksema mradi wa stigler's ungeanza soon! Sasa yule jamaa mimi sijawahi kumuamini kabisa maana hakuna ahadi amewahi itekeleza!!

Siye yetu macho, na maahadi yao!!!
 
Nadhani wengi tunashangaa sababu tumezoea kuona insignificant levels of development tu.Kwa mtu ambaye ameamua kupunguza siasa na kuweka utendaji mbele,megawatts 5000 ni achievable target ingawa inaweza kuchukua muda kidogo.

Asilimia karibu 80% ya umeme wa china unatokana na makaa ya mawe..tuna hazina kubwa sana ya makaa kule kiwira na kwingineko,ambako hata coal power engineers wa kichina wameshafanya feasibility study ikaonekana reserve ya coal ni kubwa kiasi tunaweza kuuza umeme mwingi sana huko malawi na zambia,achilia mbali kusambaza mikoa ya karibu na mbeya..tatizo letu watanzania tumeweka ushabiki wa siasa mbele kiasi hatitazami facts tena..

Umeme kama 5000MW huwezi zalisha halafu uka-upreserve!! Hii ni mipango inayopaswa kuwa ya muda mrefu with plannings za mahala pa kuuuza! Tukishakuongelea kuuza huu umeme, basi ni lazima mradi uwe msafi usiingiliwe na wanasiasa wetu ili kusababisha bei kupanda!! Hapo ndipo tutakapoweza haya!!

Hivi mkuu una habari tanesco wana nunua 1MW kwa bei zinazorange USD 0.14 to 0.32 halafu wanatuuzia wananchi kwa USD 0.008? Una habari hii? Na tena una habari kuwa anayetuuzia umeme wa usd 0.14/mw ni Kenya, haya mengine ni ya humu humu ndani just because mikataka ni ya kifisadi?!!!!

TANESCO iko mbioni kufa, wenye macho wanajiimarisha kwa kasi maana wanajua siku ikitangazwa mufilisi watapewa mikataba right away ya kuendelea kutunyonya...

Stuka...
 
Ukweli ni kwamba kazi ya uwaziri siyo ya kisayansi wala ya kifundi. Haijalishi ana degree ya madini au ya sayansi ya jamii. Wakati mwingine nashangaa kwa nini watu wanafikiri eti ni lazima waziri awe amesomea sekta husika. Uwaziri ni siasa, sera na uongozi.
 
Masikini hajui alisemalo, anafikiri kwenye govt mambo yanaenda smooth and straight. Atakutana na vikwazo vifuatavyo.

i. Sheria ya utumishi wa umma. Atajikuta hawezi ku jenga team imara ya kufanya kazi. Badala yake atalazimika kufanya kazi na watumishi waliokwisha ota magamba, ambao hawezi kuwaambia lolote hata kuwawajibisha.
2. Sheria ya manunuzi. Atajikuta inachukua muda mrefu wenyewe wanaitaa mchakato kupata mkandarasi wa kujenga/kusupply mitambo ya kufua umeme. Mwisho wa siku wataishia kupata mzabuni ambaye ni lowest bidder ambaye atashindwa kufanya kile alichitarajia na kujikuta anaishia kupata kashfa kama ya richmond na kutakiwa kujiuzulu.

iii. The wananchi. Ambao watapiga kelele na kuaminishwa kuwa waziri alipokea rushwa wakati wa kupata mkandarasi. Waandishi wa habari na wabunge kwa kutumia mgongo wa wananchi watashinikizwa ang'olewe baada ya mchakato wa kumpata mzabuni kutotoa matunda yaliyitarajiwa.

Amini usiamini. Hivyo vitu vi 3 ndo vita mwaribia kama ilivyotokea kwa watangulizi wake

iMindi haya ndo tunayopigia kelele kwa kuwaambia tatizo la leo katika serikali yetu si waziri wala naibu wake. Tatizo no mfuo!!!!

Sielewi ni kwa nini hawataki kubadili mfumo wa kiutendaji serikalini? Haya yataendelea tu...
 
idea ni nzuri lakini kikwazo ni serikali yake, anaposema 5000MW lazima pia afikirie kuwa maji sio chanzo cha kukiamini, hivyo lazima kuwe na vyanzo mbadala ambapo fedha lazima itahusika na serikali ndio hiyo imefulia.
...pesa walibakiza ni ya kukodishaa malori ya kubebea watu hili kujaza mikutano na kupika pilau...
 
Ni jambo la heri sana tuwe realistic kuliko kukurupuka na kuzusha vitu ambavyo si vya kweli. Alichokizungumza Profesa Sospeter Mwijarubi Muhongo mara baada ya kuapishwa ni kwamba anatambua tatizo la umeme liliopo nchini kwa sasa na amejipanga kikamilifu kukabiliana nalo ambapo akasisitiza kwa wakati huu tulitakiwa tuwe angalau na 1500MGW kitu ambacho hatuna mpaka sasa. Kitu alichokieleza ni kuwa na mipango mifupi na mirefu kuhakikisha kuwa tunakuwa na umeme wa kutosha infuture angalau 3000MGW ili tuweze kuwa na excess ambayo tunaweza kuuza mpaka nchi za jirani. Changamoto nyingine aliyoianisha ni kuweza kuongeza idadi ya watumiaji kutoka 14% mpaka 75% kwa siku za baadaye ambapo alizungumza atajitahidi kutumia uwezo wake na utalamu wake kuona anawezesha taifa letu kufikia hatua hizo siku za usoni.

Na kwa tunaomfahamu Profesa tunasema hilo linawezekana kabisa kwa kuzingatia uwezo alionao mwanazuoni huyu nguli. Kimsingi nchi yetu imejaliwa kuwa na vyanzo vingi vya umeme ambavyo tumekuwa hatuvitumii. Tangu tupate uhuru zaidi ya miaka 50 tumekuwa tukitegemea uzalishaji wa umeme through Hydro Electric Power through mabwawa yetu ya Mtela, Kidatu na kwengineko. Kuna mradi mkubwa wa stieglers gorge ambao kama ukikamilika tunaweza kupata dhaidi ya 3000MGW. So kwa uwekezaji katika mradi kama huu uwezekano wa kuwa na umeme wa kutosha na kuuza mpaka nje ya nchii upo kabisa. Mauritius wameweza wamefanikiwa 95% ya watu wake wana umeme kwa nini hapa wenye kila aina ya sources tushindwe????

By 2020, Africa will account for 20% of global oil and gas discoveries, e.g. Tanzania has natural gas reserves estimated at 7.5 trillion cu. Ft. A conservative estimate shows that Africa has coal deposits to last it for over 300 years (e.g. Tanzania has over 1.5 billion tons of coal). Jamani kwa haya makaa yam awe yote yaliopo na kiasi ikubwa cha gas reserves tunashindwaje kufikia hizo 3000MGW???

Renewable energies are the energies of the future. Scientists argue that the solar energy that hits the Earth exceeds the global energy needs by ~10,000 times. (Je ni kiasi gani cha jua tulichonacho jamani??) Tunahitaji kuwa na massive investment kwenye miradi mikubwa ya kuzalisha umeme kwa kutumia nguvu za jua?? Tazameni sasa wenzetu walivyo serious, Europe has set a target of reaching 20% of its total energy consumption to be generated, by 2020, from renewable energy sources. The global solar energy market is considered to be increasing by 40% every year and is expected to grow from US$13 billion (2011) to US$32 billion by this year. The European Desertec solar project in northern Africa is investing € 400 billion for the utilization of the Saharan solar energy.

The largest wind farm in Africa is located in the Gulf of El Zayt, Red Sea, Egypt (Zafarana wind farm, 200 MW) and has attracted an investment of € 340 million from Germany. Kule Singida kwa kina Tundu Lissu na Lazaro Nyalandu kuna potential kubwa sana ya kuwa na windfarm ambapo tunaweza kupata zaidi ya 200MGW…………

Bado tuna potential sites for georthermal katika nchi hii where two potential target areas for geothermal exploration singled out so far are: Arusha region near the Kenyan border in the North; and Mbeya region between Lake Rukwa and Lake Nyasa in the southwest. Another potential area (Luhoi) was prospected during 1998-2002 by First Energy Company of Tanzania. Haya yote tukisema tuyatumie tunaweza tukafanya makubwa sana??
Uwezo wa Profesa una fahamika wasi wasi upo kwenye mfumo wa serikali je utakuwa tayari kupokea mapendekezo yake na kuamua kuwekeza kwenye miradi mikubwa ya umeme???

Tumpe Profesa Ushirikiano ni kiongozi wa dhati na mjamaa kweli kweli aliye tayari kusave for this nation kama navyosema mwenyewe sio mwana siasa ni mwanasayansi mtaalamu...........
 
Kuzalisha wanaweza kudizalisha ila hapa tatizo ni kuzisafirisha na kuzisambaza. Hii issue ilishazungumziwa wakati walipodai kuwa China imetoa billion kwa ajili ya kuzaliza umeme. Inasemekana njia za sasa za kusambaza umeme hazina uwezo wa kusambaza kiasi kikubwa kama hicho cha umeme. Kujenga njia za usambazaji inachukua miaka kibao. Either itabidi waongeze uwezo (upgrade) wa zile grid zetu za sasa au wajenge mpya. Wote tunajua hilo zoezi huwa linachukua miaka mingapi kutokana na experience zetu za ujenzi wa zile grid za zamani. Nafikiri ni swa na kujenga barabara mpya. Sasa sijui kama muheshimiwa anaongea tu au kisha fanyia kazi yote mawili (uzalishaji na usambazaji).

Well, eeh mods wapi tufe la like?
Any way, like! Like!

Umenena kitaalamu, aibue mradi ausimamie aache maneno matupu!

Acheni kuwaogopesha watu, Hatuwaogopi!
 
Two possibilities: he will either change the system or the system will change him. Waliotangulia mfumo uliwabadilisha, ngoja tumsubiri na yeye
 
Hivi akiweka full force Kiwira kwa miaka 2 na nusu atashindwa kuzalisha hiyo megawatt 5000, mbona kama NSSF wameonyesha interest ya kuwekeza hapo! Mi sioni kama kuzalisha 5000MW ni ajabu, we are only lacking seriousness.

Watu wa RUBADA wamesema wataanza ule mradi wao wa Stigler George huko Selous wa MW 2100 hivi karibuni. Pia kuna ule mradi wa Wachina wa makaa ya mawe wa MW 3000 na pia Wachina wanajenga bomba la gesi pana zaidi lenye kuwezesha uzalishaji wa umeme wa MW 1500 wa gesi pale Ubungo. Ukijumlisha na Mtera, Kidatu, Nyumba ya MUNGU tutakuwa na umeme zaidi ya mahitaji ya nchi kwahiyo tutauza mpaka nje ya nchi. Kinachotakiwa ni kuwakatalia akina Rostam miradi yao ya majenereta maana hao ndo wanahujumu juhudi zote za kutuletea umeme wa uhakika na wa bei nafuu. Ngeleja alikuwepo pale kutumikia miradi ya hao waliomweka hapo na sasa ameondoka na nafikiri Muhongo hana uhusiano wowote na akina RA na EL kwahiyo inawezekana.
 
Two possibilities: he will either change the system or the system will change him. We will wait and see
You are veery right. Since he has no power to change the system, definately he will change to comply with the system.
 
I have the inner feeling of trusting him!

We need technocratic goverment of Economists,Scientists,Engineers kama Uchina(Books were right about seeking elimu hadi Uchina). Tukome kuchakachua doctrates.
 
Hii hapa chini ni excerpts kutoka gazeti la Mwananchi la leo likinukuu a very bold
hiyo sio "nukuu." Ni maelezo ya tafsiri ya gazeti na maelezo ya maoni ya kwako wewe. Ningependa kujua alichotamka.
 
Back
Top Bottom