Recent content by Bretha Naturals

  1. B

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Wanaume huheshimu sana wanawake Wanaotumia akili zao kujitafutia kuliko wanaotumia sehemu za miili yao?

    Ukimuheshimu Mwanamke huwezi kumpenda na ukimpenda Mwanamke huwezi kumuheshimu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nitumie kitu gani ngozi ya viganja vya mikono iwe laini

    Fanya scrub, zipo aina tofauti za scrub kuna sugar scrubs, salt scrub, coffee scrub. Inayoweza kukufaa nadhani yenye mchanganyiko wasugar, lemon na coconut.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Filosofia: Muundo wa akili ya mwanamke ni sawa na "one way traffic", inaruhusu upande mmoja

    Ni kweli kabisa, mimi ni mwanamke na ninathibitisha hilo. Hata katika uumbaji inajulikana feminine energy inatembea ina circles na masculine energy ipo inatembea katika mstari ulionyooka. Mwanamke bila mwanaume anakuwa unstable sana. Hata hao wanawake waliosoma mara nyingi uwa kama sio kwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba "Kichaa" ndiye binadam bora na halisi hapa duniani; wengine tunaishi kwa maigizo ya kurithi tu

    Kuna kitu kipo nyuma ya akili, ukifanikiwa kufika nyuma ya akili na kuwa shahidi wa kile kinachotendeka utagundua watu wengi wamenasa tu kwenye matrix na wanaishi tu kwa kutimiza wajibu na kukariri
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ngozi nyororo

    Ukitaka ngozi yako iwe nyororo na ya kuvutia jaribu recipes hizo. Oatmeal ni kiboko sana katika ku smooth ngozi pua kutoa mabaka
  6. B

    JamiiForums Tanzania Zifanye nywele zing'ae

    Hii ni njia ya rahisi sana ya asili ya kuweka mng'ao kwenye nywele zako na kuzifanya zishine pia inachochea ukuaji wa nywele Unachotakiwa kufanya ni kuchemsha majani ya rosemary kwenye maji kiasi na uyaache yalale usiku. Kisha unaongeza apple cider vinegar kwenye hayo maji. Unakuwa umejipatia...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waafrika weusi ni 15% tu ya idadi ya watu duniani, ni ushenzi kusema tuna overpopulation!

    In theory. Hakuna wrong or right, ni uamuzi tu. Inawezekana mzungu yupo sawa na pia inawezekana pia muafrika yupo sawa. Wakati mwingine sio mzungu wala muafrika ni nature tu inayo determine hivi vitu. Mzungu, Muafrika, Muhindi na wengineo wote wanajaribu kuendana na mabadiliko. Survival of the...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila pakiboreshwa wateja wanakimbia?

    Ungeanza mabadiliko kidogo kidogo, sio kwa mara moja Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nazi zinauzwa

    Nazi zinauzwa kwa bei ya 400 kwa kila nazi, zipo takribani nazi 250. Zipo Vikindu Mkuranga. Pm kama unahitaji Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kufanya mapenzi( Ngono) siyo dhambi.

    Dhambi ni kitu kinachokufanya uteseke.... Kama hujajuwa kucontrol nguvu zako za ngono utateseka sana kwani ndio nguvu hizo hizo zinazohusiana na uumbaji. Angalia unapolala ovyo na watu unaumba nini Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kiroho

    Upo katika kipindi cha mapito (karma) Zama ndani sali na make peace with your past. Fanya matendo mema, mtafute Mungu zaidi whatever that means to you. Linda hisia zako, imarisha akili yako, roho yako mbwagie Mwenyezi Mungu Utazaliwa upya hakika ukifanikiwa kupita Sent using Jamii Forums...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ufuska unayotupatia raha ila kuleta mateso kwa familia zetu

    Thank you too. Na kweli kabisa in a true balanced relationship between a man and a woman. Mwanaume ndiye anatakiwa kumpenda Mwanamke na amu worship kabisa na Mwanamke inabidi amuheshimu Mwanaume kwa unyenyekevu kabisa. Kwanini? Sababu kuna exchange of energies ambapo a balanced woman embodies...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu maisha ya sanaa na wasanii

    Natural law ina govern mambo, so trick ni kuji reinvent. Kuwa mpya, kuzama ndani, sijui kuingia mbinguni. Sio kutembelea old energy...... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke:- Taabu kubwa Mungu aliowapa wanaume chini ya jua

    Haelewi dhana nzima ya uumbaji, bila Mwanamke Mwanaume ni hamna kitu hata nguvu ya kutafuta hayo magari pesa anafikiri zinatoka wapi? Ajaribu aishi kiseja aone kama atapata ladha ya kufanya kitu chochote kiwe.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Pesa bwana.. Acha ziitwe pesa

    Money ni energy in a physical form ni makaratasi tu. Simply that
Back
Top Bottom