Pesa bwana.. Acha ziitwe pesa

Pesa bwana.. Acha ziitwe pesa

Haa aisee
Biblia inasema fedha huleta jawabu la mambo yote.
Siku ukiipata utaamini mfalme suleimani alikuwa na hekima kuliko anko magu na Don Trump

Mhubiri 10:19
[19]Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko,
Na divai huyafurahisha maisha; Na fedha huleta jawabu la mambo yote.
Mkuu ni vizur kusoma neno la Mungu lakin kuwa makin katika kutambua lamaanisha nn.

Mhubiri 10:19
Karam hufanywa kwa ajili ya kicheko, na divai hayafuraisha maisha; na fedha huleta jawabu la mambo yote

Haijamanisha fedha huleta jawabu la mambo yote hapa duniani.. Hapana

Kuna alama hii imetumika apo ambayo ni ( ; )
Alama hiyo kwenye mabano ndo inakusaidia kujua kwa urahisi kuwa jibu hilo la fedha huleta jawabu la mambo yote- ni jibu la mambo hayo mawili nyuma, ambayo ni karam (sherehe) na divai (pombe) vitu hiv viwil ndio hutegemea fedha.

My friend acha kusoma bible kama kitabu cha hadithi.
a45 Kizzy Wizzy
 
2 Timotheo 3:1-5 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)Hatari Za Siku Za Mwisho
3 Lakini fahamu jambo hili: kwamba siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. 2 Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, watukanaji, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio na utakatifu; 3 wasio na ubinadamu, wasiopenda kusuluhishwa, wachonganishi, walafi, wakatili, wasiopenda mema; 4 wasaliti, wasiojali kitu, waliojaa majivuno, wapendao anasa badala ya kumpenda Mungu. 5 Hao ni watu ambao kwa nje wataonekana kuwa wana dini, huku wakikana nguvu ya imani yao. Jiepushe na watu wa jinsi hiyo.
 
Sawa kabisa
Ingawa wew mtukutu wajiita
Ila tutengenezee uzi tuanze kujimwaga wapenda maisha ya kutenda mema. Urafiki na mapenzi sawa na neno la Mungu.
2 Timotheo 3:1-5 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)Hatari Za Siku Za Mwisho
3 Lakini fahamu jambo hili: kwamba siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. 2 Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, watukanaji, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio na utakatifu; 3 wasio na ubinadamu, wasiopenda kusuluhishwa, wachonganishi, walafi, wakatili, wasiopenda mema; 4 wasaliti, wasiojali kitu, waliojaa majivuno, wapendao anasa badala ya kumpenda Mungu. 5 Hao ni watu ambao kwa nje wataonekana kuwa wana dini, huku wakikana nguvu ya imani yao. Jiepushe na watu wa jinsi hiyo.
 
Dhambi zengine za makusud acha kudanganya watu mkuu.

Back
Top Bottom