mimi nimekuelewa wewe unamaanisha kuna ndugu yako pia yupo SEGEREA sasa ulivyo msikia Mh. Raisi Ndg. ENL kawataja hao baadhi ukachanganyikiwa sio... Hii imekaa hivi hao kawataja kama mfano tu wa kuwakilisha wengi kama hao. Hivyo nakushauri ukae karibu kuorodhesha jina la huyo ndugu yako...
Yani aka kajamaa eti letigimacy,,, haya tukikauliza katupe tafsiri yake kataanza kuangalia pua,, yaleyale ya Polepole ndo unatuletea hapa. Bangi uliyo vuta ni hatari kwa afya yako.. huu upuzi peleka huko sisiemu kwenu.
"(Husiogope user name yangu; "Zabeast"
The executional beast not the bad beast
The make things happen with the animal spirit
The monstery way of solving problems.... never quit ease!
Asante!!"
Hilo jina lako kwanza nani atakuwa tayari kuwa mteja wako hata ukimpa free off charge!!!!!!!!!
yap ni haki yake kufahamu kwa undani hapo hakuna personal isue. Jiulize wakati wanakusomesha ulihitaji kuwaficha budget yako au uliwambia wazi. Sasa leo umezipata ndo unafanya siri kumbuka kuna jana,leo na kesho. Mbona mkipandishwa vyeo hadi wahudumu wa bar wanajua leo kwa mzazi wako ndo...
Hao ni watu muhimu wanastahili kufahamishwa kwanini unapata ugumu kuwaambia. Au tufafanulie vizuri huenda ukawa unalipwa kinyume na matarajio yako labda unaona aibu kuwafahamisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.